Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Mdada anaefunga Pm hajiamini na inawezekana akawa mwajuma mlango wazi ukibisha hodi tu ndani, sasa ili kukwepa hilo anaona bora afunge tu maana mtu anaejiamini anajua hili yes hili no so hana haja ya kufunga PM. Jf wangetoa kwanza hii kitu wengine kuanza kuanzishiana thread humu kisa mtu unamkubali lakini kafunga PM unaamua kwenda public hatuwezi mnatupa tabu kweli[emoji38] [emoji38] [emoji38] .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari za saa hizi wapendwa?
Natumaini hamjambo na ni wazima kabisa kama mimi nilivyo mzima.

Waungwana kuna jambo ningependa kufafanuliwa kwanini wanawake wa humu wanapenda kufunga PM zao?

Maana nimeliona Mara nyingi sana hili suala la wanaume kupiga magoti na kujishusha wakiomba kufunguliwa PM ili waweze kuongea Yale mambo ambayo huwa hayaongelewi public.

Ningependa kupata ufafanuzi wa kina na upembuzi yakinifu kuhusiana na hili suala.

Kila mmoja huwa na Sababu zake binafsi
upande wangu mie ni Uvivu wakujibu mtu
unakuta ukiacha Pm wazi ndani ya masaa Unakuta full sms
Unamjibu huyu
Mwingine anauliza lile
Kiukweli nikazi
 
Kila mmoja huwa na Sababu zake binafsi
upande wangu mie ni Uvivu wakujibu mtu
unakuta ukiacha Pm wazi ndani ya masaa Unakuta full sms
Unamjibu huyu
Mwingine anauliza lile
Kiukweli nikazi
Mbona sababu zako ni dhaifu flan ivi?

Fanya ufungie bhana PM
 
Back
Top Bottom