Ndugu yangu,
Chura pole sana mazee. Ila, as a man YOU HAVE TO PROPERLY VET THESE WOMEN. Ni mwiko kabisa kuanza kutumia rasilimali zako kwa mtu ambaye hawezi kukuongezea kitu kwenye maisha yako kama huyu uliyemtaja hapa. Umempa FREE ATTENTION, FREE VALIDATION and FREE-TIME ilhali ukute huyo mwana KEVOO hakuhangaika kama wewe. Angalia mwenyewe hapo LODGE wameenda kwa kutumia gari ya manzi wako, kitu kinachoonesha kwamba manzi wako ndiyo alileta shobo kwa KEVOO.
Wanawake KIASILIA NI WACHOYO na WAGUMU KUTOA VYAO HATA KAMA WANAVYO. Ukiona hadi mwanamke kachoma mafuta yake na kutumia gari lake kumfuata mwanaume, basi fahamu fika kwamba anamkubali huyo mwanaume. Wewe ulipanga kwenda kumfuata na gari lako, lakini KEVOO alifuatwa na gari la mwanamke. Mazee siku nyingine usifanye hivi ulivyofanya kwa mwanamke mpaka umejiridhisha vya kutosha kuhusu yeye.
KUHUSU KUTUMA TEXT: Lakini iko hivi, ni mara chache sana kwa mtoto wa kike kuchelewa kujibu TEXT kwasababu mara kibao hawa wenzetu hukaa na simu zao 24/7. Ukituma TEXT halafu ukute hajajibu, siyo kama anakuwa hajaiona sema anakuwa anafanya mishe zange nyingine ambazo anahisi ni muhimu kwake wakati huo. Hivyo siku ingine, tume TEXT mara moja tu, akiwa na akili timamu ataiona....
Asipoonyesha ushirikiano, JUST CUT HER OFF, kamwe usiruhusu Drama kama hizi kutoka kwa mtoto wa kike. Saikolojia ya wanawake ni ya ajabu sana, kadiri unavyozidi kumtumia TEXT ndiyo wanazidi kukudharau na kukuona wewe fala. Binafsi nikiwa kwenye mahusiano na mtu, huwa sipendi anutumie TEXT na CALLING kila saa kujua nafanya nini au naendeleaje as if she's my therapist. Hili hata mimi silipendi.....
KUHUSU DATES AND LEASURE: Jingine braza Chura, ni kwamba wanaume wanaoumizwa na wanawake ni wale ambao huwapa wanawake kipaumbele. Kwenye maisha haya mtu wa kwanza kumpa kipaumbele ni WEWE MWENYEWE siyo MWANAMKE. Miaka ya nyuma ndiyo nilikuwa naenda DATE/OUT na mwanamke na nataka kwenda naye hoteli nzuri ili afurahie, lakini nilivyogonga 30's nikaanza kwenda OUT mwenyewe na wana AND TRULLY I HAVE ENJOYED EVERY MOMENT OF IT. Napanga ratiba yangu mapema kabisa ya mimi kwenda OUT, yeye anakuwa mgeni MWALIKWA TU.
Asipokuja ndiyo nafurahi zaidi kwasababu IT'LL BE A DRAMA FREE NIGHT, yale mambo ya Mood-Swings na kuanza kubembelezana hayatakuwepo kabisa. Kiukweli I have grown to enjoy my ME TIME. Usijifunza kufurahia muda wake mwenyewe madhara ndiyo haya sasa, utatafuta hadi wanawake wajinga kisa tu YOU'RE IN A DESPERATE NEED OF COMPANIONSHIP.
Jingine nililojifunza kuhusu hawa wanawake wengi wa siku hizi ni kwamba hata nikienda nao OUT/DATE zaidi ya kutegemea NGONO hawana kitu kingine cha ziada wanaweza kunipa. Wengi wao ARE INTELLECTUALLY SHALLOW, BORING WITH POOR SOCIAL SKILLS. Siwezi kukaa naye hata nusu saa tukafanya mazungumzo ya maana, zaidi zaidi ataanza kunisimulia mambo ya kazini kwao, nyumbani kwao au maisha ya watu. Hivyo ni heri nikae na wana viwanja tupige stori au nikae mwenyewe nifurahie muda wangu, kuliko kupotezewa muda wangu na mtu ambaye haniongezei chochote.
MWISHO KABISA: Braza
Chura , labda hii story yako iwe ni CHAI. Ila nachofahamu mimi ni kwamba mwanaume yoyote mwenye fedha za kuweza kuwa na usafiri binafsi, kazi yake nzuri na a good place to stay, hawezi kuhangaishwa na mwanamke mmoja. Hivi unakuwaje na fedha halafu unasumbuliwa na mwanamke mmoja ambaye hakupi hata ushirikiano wowote ule ? You have lots of options when it comes to women, so explore them. Siku hizi hata niwe nimetoka na mwanamke jana halafu kesho namkuta na mtu mwingine wala sistuki kabisa.......