Wanawake wa kizazi hiki mbona hawana hofu ya Mungu jamani?

Unyama sana hawa wadudu usipoangalia wanaweza kukupeleka Jela
 
Kwani Chura unadhani wewe ni mtu wa kwanza kukutwa na haya ndugu yangu ? Hivi ndivyo dunia ilivyo, hivyo kama mtoto wa kiume ni lazima ujifunze kuwa STOIC, yanaumiza lakini ni lazima maisha yaende. Hapa siyo suala la hisia, ni suala la uhai wako.

Ukweli mchungu ambao ni lazima ukubaliane nao ni kwamba huwezi kumwamini mwanadamu yoyote kwa asilimia 100%, hivyo ni lazima ukae naye ukitegemea kwamba kuna siku atazingua tu. Ukishakubaliana na huu ukweli, siku yakikukuta hutasituka sana kwasababu ulishajiandaa kisaikolojia.

Unadhani hili wewe ndiyo wa kwanza kukutwa mazee ? Juzi hapa kuna mshikaji wangu yamemkuta mazito kuliko haya yako, lakini alichofanya nikasema, eeh huyu sasa amekomaa akili na somo tulilokuwa tunamfundisha ameanza kulielewa.

Chris Brown alishaimba "They Ain't Loyal" hivyo Quit Putting These Women on a Pedestal......
Saa hizi nafahamu huwezi kunielewa, lakini utakaa siku utanishukuru......
 
mpenzi nimekosa nn mbona hupokei simu zangu"
Watu wa namna hii ni wabaya sana,wanakosea afu wanajifanya hawajakosea then wanataka ujielezee wewe uliyekosewa.Devils
 
Wanawake wa sasa ni tatizo sana yan manzi anamegwa na mshikaji wake wa karibu ivyoo
 
Tena umalaya Pro, mm nimeshangaa tu alivyonitext utadhani hamna kilichotokea
Pesa siyo kigezo cha kuwa na mwanamke mzuri. Wanawake ni watu wa ajabu sana, unaweza kumtimizia kila kitu ila anampenda bodaboda
Tafuta pesa ili ukidhi mahitaji yako na siyo kuwa na mwanamke mzuri.
 
Jamaa mhuni sana wewe🤣🤣
 
Bro umemalza kila kitu yani. Haf hisia sio involuntary ni just voluntary thing unaweza icontrol vizuri tu. The best fact of being matured enough is to be able to control your emotions rightly.
 
Pole ila na wewe si ulikua na Queen au? Mbona ngoma draw....
 
Yani nimekaa mwanza mwaka wa 3 huu sipajui THE DREAM ....
 
Aaaah y
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…