mtume wawatu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 1,053
- 1,199
Sio kweliKufyatua watoto huku umejaa ufukara hadi kwenye kope ni matumizi duni ya akili.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweliKufyatua watoto huku umejaa ufukara hadi kwenye kope ni matumizi duni ya akili.
Vyakula ni vingi ila uzaaji ni kama wa nguruwe .Ahaaaaa
Ila Pemba nao wametisha ila uzuri
Huko mbeya nadhani vyakula ni vingi
Sijui kwenu mmezariwa wangapi?Sisi wengine ni zile familia za kuzaliwa watoto 10, hakuna nguo za skuku wala sijui mambo ya kitajiri,Kinyume chake wale waliokuwa malezi bora sijui kwao wanaishi kizungu,wazazi wao walishakufa, na unakuta na ndugu yake naye alikufa, sababu walizaliwa wawili, aliyebaki pekeyake amebaki mkiwaNajua unaongea tu hujafika huko vijijini ukiwa na kauwezo kidogo nyumba yako inageuka kituo cha omba omba,wanaomba hadi mchicha pori,tuzae watoto tunaowamudu,watoto kumi sio jambo jepesi hata kama una uwezo.
Mambo yamebadilika mkuuSijui kwenu mmezariwa wangapi?Sisi wengine ni zile familia za kuzaliwa watoto 10, hakuna nguo za skuku wala sijui mambo ya kitajiri,Kinyume chake wale waliokuwa malezi bora sijui kwao wanaishi kizungu,wazazi wao walishakufa, na unakuta na ndugu yake naye alikufa, sababu walizaliwa wawili, aliyebaki pekeyake amebaki mkiwa
Mambo hayatakuja baadilika, ila ni fikra na mawazo ya watu tu, leo kuna inchi za wazungu hataki kuzaa sababu ya kuogopa umaskini, lakini ukiangalia ghara za kutunza wanyama wao kama mbwa, ni kubwa kuliko kumtunza mtotoMambo yamebadilika mkuu
Huo wakoni wivu tena uliopindukia mipaka.Naandika nikiwa Simiyu baada ya kutoka safarini Pemba
Nimetembea mikoa mingi Tanzania ila haya maeneo tajwa yanashangaza.
Karne hii mwanamke anazaa watoto kumi!!!
Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini, hajui siku za hatari na salama ni zipi.
Unakuta mama ana mtoto wa miezi mitatu tayari ana mimba. Kabla hajakaa sawa binti yake wa miaka 15 naye ni mjamzito. Yaani unakuta mjomba ni mdogo kiumri kuliko mpwa wake. Imetokea mara kadhaa mama na binti yake wanakutana labor kujifungua, sasa, sasa mtoto wa huyu binti unakuta wakati mwingine ananyonya maziwa ya bibi yake maana nae ananyonyesha.
Itungwe sheria watoto mwisho watano tu.
Hali ya chakula sio nzuri siku hizi, mabadiko ya tabianchi yameathiri kilimo, watoto hawashibi, wakishiba ni vyakula visivyo na virutubisho
Mtoto mpaka anavunja ungo hajawahi kula yai, soseji, nyama mpaka mbuzi afe,maziwa mpaka unywe sumu bahati mbaya,mtoto hajui hata kiatu kinavaliwaje.
Acheni kutesa watoto mtoto ana haki ya kunyonya miaka miwili
Umeenda lini ukaona hawapewi chakula wanalalamika. Naongelea PembaHawapati mahitaji wanateseka sana
Kwaio mkoani kwenu nd watoto mashulen wanafanya vzr kwasbb wamenyonya miaka miwili ?Pemba wanashiba ila hawapati mudawa kunyonya matokeo yake darasani hawafanyi vizuri
Sijajua kama umewahi kusikia kitu kinaitwa "HAKI ZA BINADAMU" unaanzaje kulazimisha mtu achome sindano za uzazi wa mpango ?Naandika nikiwa Simiyu baada ya kutoka safarini Pemba
Nimetembea mikoa mingi Tanzania ila haya maeneo tajwa yanashangaza.
Karne hii mwanamke anazaa watoto kumi!!!
Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini, hajui siku za hatari na salama ni zipi.
Unakuta mama ana mtoto wa miezi mitatu tayari ana mimba. Kabla hajakaa sawa binti yake wa miaka 15 naye ni mjamzito. Yaani unakuta mjomba ni mdogo kiumri kuliko mpwa wake. Imetokea mara kadhaa mama na binti yake wanakutana labor kujifungua, sasa, sasa mtoto wa huyu binti unakuta wakati mwingine ananyonya maziwa ya bibi yake maana nae ananyonyesha.
Itungwe sheria watoto mwisho watano tu.
Hali ya chakula sio nzuri siku hizi, mabadiko ya tabianchi yameathiri kilimo, watoto hawashibi, wakishiba ni vyakula visivyo na virutubisho
Mtoto mpaka anavunja ungo hajawahi kula yai, soseji, nyama mpaka mbuzi afe,maziwa mpaka unywe sumu bahati mbaya,mtoto hajui hata kiatu kinavaliwaje.
Acheni kutesa watoto mtoto ana haki ya kunyonya miaka miwili
Uzi ufungwe 👏👏Inaonekana wewe umetumwa,na watu wa ndoa ya jinsia mmoja, hao watu walishawahi kuja kukuomba chakula? Je kwa kuzaa watoto wachache wewe umenufaika na nani?
Sisi tunakwenda na Amri ya mwenyezi Mungu, nendeni mkazaliane mkaongezeke
Uko sahihiSijajua kama umewahi kusikia kitu kinaitwa "HAKI ZA BINADAMU" unaanzaje kulazimisha mtu achome sindano za uzazi wa mpango ?
Mbaya zaidi umeshajua tatizo lipo wapi umeandika hapa
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
"Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini, hajui siku za hatari na salama ni zipi."
Unaonaje serikali ikaandaa semina maalum ya kuwafundisha namna miili yao inavyofanya kazi hasa kwenye mzunguko wa hedhi na namna ya kupanga uzazi wa mpangi usio na gharama?
Basi bakini hivo unataka Tanzania yote mufanane na kabila lenu we jamaa vpBila shaka