Wanawake wa Pemba na Kanda ya Ziwa wapigwe sindano ya uzazi wa mpango kwa lazima, wanatesa watoto

Naandika nikiwa Simiyu baada ya kutoka safarini Pemba

Nimetembea mikoa mingi Tanzania ila haya maeneo tajwa yanashangaza.

Karne hii mwanamke anazaa watoto kumi!!!

Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini, hajui siku za hatari na salama ni zipi.

Unakuta mama ana mtoto wa miezi mitatu tayari ana mimba. Kabla hajakaa sawa binti yake wa miaka 15 naye ni mjamzito. Yaani unakuta mjomba ni mdogo kiumri kuliko mpwa wake. Imetokea mara kadhaa mama na binti yake wanakutana labor kujifungua, sasa, sasa mtoto wa huyu binti unakuta wakati mwingine ananyonya maziwa ya bibi yake maana nae ananyonyesha.

Itungwe sheria watoto mwisho watano tu.

Hali ya chakula sio nzuri siku hizi, mabadiko ya tabianchi yameathiri kilimo, watoto hawashibi, wakishiba ni vyakula visivyo na virutubisho

Mtoto mpaka anavunja ungo hajawahi kula yai, soseji, nyama mpaka mbuzi afe,maziwa mpaka unywe sumu bahati mbaya,mtoto hajui hata kiatu kinavaliwaje.

Acheni kutesa watoto mtoto ana haki ya kunyonya miaka miwili
Umewachamba sana ila umeongea facts tena kwa mpangilio mzuri sana.
 
......Mtoto mpaka anavunja ungo hajawahi kula yai, soseji, nyama mpaka mbuzi afe,maziwa mpaka unywe sumu bahati mbaya,mtoto hajui hata kiatu kinavaliwaje....
 
Kipindi unatafuta, Mwanamke mzuri wa  kuoa hapo hapo usiisahau na kuwatafutia Mama Bora watoto wako ..
 
Naandika nikiwa Simiyu baada ya kutoka safarini Pemba

Nimetembea mikoa mingi Tanzania ila haya maeneo tajwa yanashangaza.

Karne hii mwanamke anazaa watoto kumi!!!

Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini, hajui siku za hatari na salama ni zipi.

Unakuta mama ana mtoto wa miezi mitatu tayari ana mimba. Kabla hajakaa sawa binti yake wa miaka 15 naye ni mjamzito. Yaani unakuta mjomba ni mdogo kiumri kuliko mpwa wake. Imetokea mara kadhaa mama na binti yake wanakutana labor kujifungua, sasa, sasa mtoto wa huyu binti unakuta wakati mwingine ananyonya maziwa ya bibi yake maana nae ananyonyesha.

Itungwe sheria watoto mwisho watano tu.

Hali ya chakula sio nzuri siku hizi, mabadiko ya tabianchi yameathiri kilimo, watoto hawashibi, wakishiba ni vyakula visivyo na virutubisho

Mtoto mpaka anavunja ungo hajawahi kula yai, soseji, nyama mpaka mbuzi afe,maziwa mpaka unywe sumu bahati mbaya,mtoto hajui hata kiatu kinavaliwaje.

Acheni kutesa watoto mtoto ana haki ya kunyonya miaka miwili
Nilitembelea mji mdogo wa Isaka, pale kila mwanamme kama hanyonyeshi basi ana mimba. Serikali hauoni kuwa hili ni tatizo la kiuchumi na mambo ya nyota ya kijani, UMATI nk yamebaki kwenye makaratasi na kulipana mishahara tu
 
Naandika nikiwa Simiyu baada ya kutoka safarini Pemba

Nimetembea mikoa mingi Tanzania ila haya maeneo tajwa yanashangaza.

Karne hii mwanamke anazaa watoto kumi!!!

Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini, hajui siku za hatari na salama ni zipi.

Unakuta mama ana mtoto wa miezi mitatu tayari ana mimba. Kabla hajakaa sawa binti yake wa miaka 15 naye ni mjamzito. Yaani unakuta mjomba ni mdogo kiumri kuliko mpwa wake. Imetokea mara kadhaa mama na binti yake wanakutana labor kujifungua, sasa, sasa mtoto wa huyu binti unakuta wakati mwingine ananyonya maziwa ya bibi yake maana nae ananyonyesha.

Itungwe sheria watoto mwisho watano tu.

Hali ya chakula sio nzuri siku hizi, mabadiko ya tabianchi yameathiri kilimo, watoto hawashibi, wakishiba ni vyakula visivyo na virutubisho

Mtoto mpaka anavunja ungo hajawahi kula yai, soseji, nyama mpaka mbuzi afe,maziwa mpaka unywe sumu bahati mbaya,mtoto hajui hata kiatu kinavaliwaje.

Acheni kutesa watoto mtoto ana haki ya kunyonya miaka miwili
we jamaa waache Wapemba wazaliane kwasbab wanatunza watoto wao hata mpemba akizaa watoto 20, bas hutakuta mtoto hata mmoja analala njaa au anakosa cha kuvaa. Wewe umeenda kutembea ila sisi wengine tumeish huko Pemba.
Wapemba akiza watoto wachache ni watoto 6, watoto 7.

Tatizo lenu nyiny wabara mnaogopa kuzaa.

Mnaogopa kuzaa kwasababu kwanza wadada wenu wanapenda uzuri mpk wamepitiliza, wanaona wakizaa watakongoroka. Watazeeka. Wanaona watakufa mapema.

Pia mnaogopa kuzaa mnasingizia maisha lkn sio kweli. Kwasbb hata huyo aliezaa watoto watatu bas utakuta watoto hawahudumii na sio kwakua hana maisha ila tu kwasbab hamujali familia zenu.

Mtoto mnasbr akue kdg mnamfukuza akajitegemee, hata akili ya kujitegemea hana, uzuri ni kwamba tumeish kote pemba tumeish miaka ya kutosha na bara tumeish miaka ya kutosha.

Hamjali familia zenu. Msiwaseme Wapemba wanazaa sana wkt hujawah kuskia hata sik moja Pemba kuna utapiamlo, au watoto wamekufa kwa kukosa njaa.

Na kama umetembea vzr hasa Pemba basi utagundua ni bora Dar kuna maskini wengi kuliko Pemba. Ni bora dar kuna ombaomba weng kuliko Pemba.
 
Naandika nikiwa Simiyu baada ya kutoka safarini Pemba

Nimetembea mikoa mingi Tanzania ila haya maeneo tajwa yanashangaza.

Karne hii mwanamke anazaa watoto kumi!!!

Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini, hajui siku za hatari na salama ni zipi.

Unakuta mama ana mtoto wa miezi mitatu tayari ana mimba. Kabla hajakaa sawa binti yake wa miaka 15 naye ni mjamzito. Yaani unakuta mjomba ni mdogo kiumri kuliko mpwa wake. Imetokea mara kadhaa mama na binti yake wanakutana labor kujifungua, sasa, sasa mtoto wa huyu binti unakuta wakati mwingine ananyonya maziwa ya bibi yake maana nae ananyonyesha.

Itungwe sheria watoto mwisho watano tu.

Hali ya chakula sio nzuri siku hizi, mabadiko ya tabianchi yameathiri kilimo, watoto hawashibi, wakishiba ni vyakula visivyo na virutubisho

Mtoto mpaka anavunja ungo hajawahi kula yai, soseji, nyama mpaka mbuzi afe,maziwa mpaka unywe sumu bahati mbaya,mtoto hajui hata kiatu kinavaliwaje.

Acheni kutesa watoto mtoto ana haki ya kunyonya miaka miwili
Kwenye mkoa wako tu ndo hakuna mayai,nyama na maziwa maana mpaka ununue,kama unataka uzaz wa mpango ni wewe na mwenz wako,ethic haisem kulazisha uzaz wa mpango. Kanda hiyo watu wana ekari za kutosha za mazao,wanafuga kuku,mbuzi ,kondoo na ng'ombe,akose hata maziwa na mayai? Hata asiye mfugaji,kipnd cha mavuno ndo huwa kuna vikao vya ukoo ambavyo unaweza kuta ni vya cku kadhaa na zote hazo ni nyama hakuna mboga nyingne,sherehe za kuoana ni nyingi usiseme,na uzur wa huko hata kama huna mwaliko utakula na kushiba.By the way hata sindano unazosema zina madhara ya kutosha,ukitaka ntakuelezea.
 
Uyo jamaa amepandikizwa chuki. Ameandika kwa chuki kutoka moyoni mwake. Kama kwao wamezaliwa watatu atulize mshono,

Watu ktk familiza zetu tupo 13 n zaidi, wqzaz hawana kaz za kueleweka lkn hakuna sik tulilala njaa, hakuna sikukuu hatukuvaa nguo mpya, hakuna sik tuliumw wazaz wakashindw kututibu, hatukuwah kukwama vyuoni na shulen wazaz wakashindwa. Na wala hawajawah kulalamika. Na tunawashkuru sana wazaz wetu Mungu awalipe fadhila kubwa.
 
Acha weee! Labd kwako,sisi simiyu hata mboga ya majan,dagaa inatiwa maziwa,mtoto anaamkia kuchoma viaz na karanga akiwa anasubiri kifungua kinywa,mchana anachoma mahind akiwa anasubiri chakula,mda wowote ukiamua kula samaki hata kama huna hela unaingia mto Simiyu
 
Huo wakoni wivu tena uliopindukia mipaka.
Wewe lini umesikia Pemba kuna tatizo la chakula au labda watoto asilimia kadhaa wamekufa kwa kukosa chakula??

Wewe mtoto wa kiume acha umbea umbea, wacha watu wazae kama nyie wabara hamtaki kuzaa waachieni Wapemba wazae[emoji16].

Alaf nyiny si nd mnasema wanakulana nyuma wale, sasa wanaoliwa nyuma anaeza kuzaa sana ?
Naona zile kauli zenu zinawasuta wenyewe.
hasie taka familia ni mchoyo mfano wasukuma waha wazigua ni baadhi ya makabila yanao zaa sana lakini hayo makabila pia ni miongoni mwamakala yanayo fanya sana kazi hayana njaa
 
Kanda ya ziwa gani hiyo unaongelea mkuu.

Huku ukuryani maziwa ndo mboga, chai ya rangi ukinywa unaonekana una laana.

Hebu fafanua

Huku ndo kuna watu warefu, ma giants kuashiria shibe
Makurya majitu ila kama majinga majinga ukikuta yanazungumza lugha yao utadhani yanagombana kale ka cheko kao ndio katakuambia wapo sawa maana uso umekunja. (Watani)
 
Hakuna cha sheria kutungwa, kila mmoja azae kulingana na uwezo wake aliojaliwa, pamoja na kuweza kuwapa mahitaji.
Hili Jamaa kumbe lipumbavu kiasi hiki?

Halijui wapo baadhi ya Ke hawajabarikiwa mayai mengi labda wana 1 1, kwanini hao waliojaliwa mayai mengi ya kuijaza dunia wasifidie?

Au limeshakula burungutu toka kwa Mabeberu lituhadae ili nguvu kazi ya Taifa ipotee kijinga?
 
Sijui kwenu mmezariwa wangapi?Sisi wengine ni zile familia za kuzaliwa watoto 10, hakuna nguo za skuku wala sijui mambo ya kitajiri,Kinyume chake wale waliokuwa malezi bora sijui kwao wanaishi kizungu,wazazi wao walishakufa, na unakuta na ndugu yake naye alikufa, sababu walizaliwa wawili, aliyebaki pekeyake amebaki mkiwa
Akili za kindezi
 
Naandika nikiwa Simiyu baada ya kutoka safarini Pemba

Nimetembea mikoa mingi Tanzania ila haya maeneo tajwa yanashangaza.

Karne hii mwanamke anazaa watoto kumi!!!

Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini, hajui siku za hatari na salama ni zipi.

Unakuta mama ana mtoto wa miezi mitatu tayari ana mimba. Kabla hajakaa sawa binti yake wa miaka 15 naye ni mjamzito. Yaani unakuta mjomba ni mdogo kiumri kuliko mpwa wake. Imetokea mara kadhaa mama na binti yake wanakutana labor kujifungua, sasa, sasa mtoto wa huyu binti unakuta wakati mwingine ananyonya maziwa ya bibi yake maana nae ananyonyesha.

Itungwe sheria watoto mwisho watano tu.

Hali ya chakula sio nzuri siku hizi, mabadiko ya tabianchi yameathiri kilimo, watoto hawashibi, wakishiba ni vyakula visivyo na virutubisho

Mtoto mpaka anavunja ungo hajawahi kula yai, soseji, nyama mpaka mbuzi afe,maziwa mpaka unywe sumu bahati mbaya,mtoto hajui hata kiatu kinavaliwaje.

Acheni kutesa watoto mtoto ana haki ya kunyonya miaka miwili
Uzazi wa hovyo hovyo matokeo yake ni kutengeneza watoto majambazi,Watoto madada poa,Watoto Panya road,Watoto wapiga debe,Watoto waendesha boda boda,Watoto wafanyakazi za ndani,Watoto wanaotegemea 100% mbeleko ya Serekali na mwisho Watoto wasiokuwa na uhakika wa kesho yao.

Lazima tuzae Watoto tunaweza kuwatunza vyema.
 
Kuna mmoja alitumia dawa za uzazi wa mpango akakondeana, makalio na matiti yakawa flat. Ikabidi atafute makalio na matiti bandia kuweka umbo lake apendeze
ATHARI ZA UZAZI WA MPANGO:

1. Vipochi manyoya huwa na maji mengi na ubaridi uliokithiri.

2. Ke hupoteza kabisa hamu ya kujamiiana kwa mwezi mmoja hata zaidi ya miezi 6 kwa Mumewe.

3. Me huchepuka kirahisi apate ladha halisi ya kipochi manyoya chenyewe.

4. Misuli ya uzazi hulegea na kusababisha kuchelewa kunasa kwa ujauzito, ndiyomaana wapo waliokaa zaidi ya miaka 10 bila kushika tena ujauzito walipotumia awali uzazi wa mpango.

5. Kansa za vizazi na kuua figo.

6. Maumbile ya Ke kufumuka hovyo hovyo na wakiwa na matumbo makubwa na manyama uzembe viunoni, matumboni na hata kwenye maziwa (figure no 9 badala ya 8).

7. Ke kuzeeka mapema tokana na matumizi ya madawa yasiyo ya asili (too much chemical medicines is very dengerous to health perspectives)
 
hasie taka familia ni mchoyo mfano wasukuma waha wazigua ni baadhi ya makabila yanao zaa sana lakini hayo makabila pia ni miongoni mwamakala yanayo fanya sana kazi hayana njaa
Kwa wazigua nakataa,labda wasambaa wale wamilimani
 
Back
Top Bottom