Wanawake wa Pemba na Kanda ya Ziwa wapigwe sindano ya uzazi wa mpango kwa lazima, wanatesa watoto

Ni kweli Watu ni raslimali ya Taifa. Lakini ni wale wenye afya njema tu. Wale Wenye utapiamlo na afya mgogoro badala ya kuwa rasilimali, wanageuka kuwa mizigo kwa Taifa.
Hata wewe ni mzigo wa Taifa sema tu haijawahitokea punguwani akajielewa kuwa hazimtoshi.
 
we jamaa waache Wapemba wazaliane kwasbab wanatunza watoto wao hata mpemba akizaa watoto 20, bas hutakuta mtoto hata mmoja analala njaa au anakosa cha kuvaa. Wewe umeenda kutembea ila sisi wengine tumeish huko Pemba.
Wapemba akiza watoto wachache ni watoto 6, watoto 7.

Tatizo lenu nyiny wabara mnaogopa kuzaa.

Mnaogopa kuzaa kwasababu kwanza wadada wenu wanapenda uzuri mpk wamepitiliza, wanaona wakizaa watakongoroka. Watazeeka. Wanaona watakufa mapema.

Pia mnaogopa kuzaa mnasingizia maisha lkn sio kweli. Kwasbb hata huyo aliezaa watoto watatu bas utakuta watoto hawahudumii na sio kwakua hana maisha ila tu kwasbab hamujali familia zenu.

Mtoto mnasbr akue kdg mnamfukuza akajitegemee, hata akili ya kujitegemea hana, uzuri ni kwamba tumeish kote pemba tumeish miaka ya kutosha na bara tumeish miaka ya kutosha.

Hamjali familia zenu. Msiwaseme Wapemba wanazaa sana wkt hujawah kuskia hata sik moja Pemba kuna utapiamlo, au watoto wamekufa kwa kukosa njaa.

Na kama umetembea vzr hasa Pemba basi utagundua ni bora Dar kuna maskini wengi kuliko Pemba. Ni bora dar kuna ombaomba weng kuliko Pemba.
Ni kweli wapemba wanakula vizuri ila watoto wana mahitaji mengi sio kula tu
Mzazi huwezi kufuatilia maendeleo ya darasani ya watoto kumi.
 
Sijui kwenu mmezariwa wangapi?Sisi wengine ni zile familia za kuzaliwa watoto 10, hakuna nguo za skuku wala sijui mambo ya kitajiri,Kinyume chake wale waliokuwa malezi bora sijui kwao wanaishi kizungu,wazazi wao walishakufa, na unakuta na ndugu yake naye alikufa, sababu walizaliwa wawili, aliyebaki pekeyake amebaki mkiwa
Pumbavu sana hilo, linataka tupitie ujinga wanaopitia Canada na Japan ambao wana resources tele lakini rasilimali Watu kuendesha hivyo vitu hakuna tokana na ujinga huu wa uzazi wa mpango, punyeto na ushoga, TZ hatuko tayari kuwa Wajinga kiasi hicho.
 
Umesema hakuna billionaire mwenye watoto wengi au ulimaanisha Tz tu!?
Hao kina kishimba, msukuma, Ndege Sera wanakuzidi kila kitu hadi watoto we we juha wauzazi wa mpango
Hao ni bilionaire au millionaire?
 
we jamaa waache Wapemba wazaliane kwasbab wanatunza watoto wao hata mpemba akizaa watoto 20, bas hutakuta mtoto hata mmoja analala njaa au anakosa cha kuvaa. Wewe umeenda kutembea ila sisi wengine tumeish huko Pemba.
Wapemba akiza watoto wachache ni watoto 6, watoto 7.

Tatizo lenu nyiny wabara mnaogopa kuzaa.

Mnaogopa kuzaa kwasababu kwanza wadada wenu wanapenda uzuri mpk wamepitiliza, wanaona wakizaa watakongoroka. Watazeeka. Wanaona watakufa mapema.

Pia mnaogopa kuzaa mnasingizia maisha lkn sio kweli. Kwasbb hata huyo aliezaa watoto watatu bas utakuta watoto hawahudumii na sio kwakua hana maisha ila tu kwasbab hamujali familia zenu.

Mtoto mnasbr akue kdg mnamfukuza akajitegemee, hata akili ya kujitegemea hana, uzuri ni kwamba tumeish kote pemba tumeish miaka ya kutosha na bara tumeish miaka ya kutosha.

Hamjali familia zenu. Msiwaseme Wapemba wanazaa sana wkt hujawah kuskia hata sik moja Pemba kuna utapiamlo, au watoto wamekufa kwa kukosa njaa.

Na kama umetembea vzr hasa Pemba basi utagundua ni bora Dar kuna maskini wengi kuliko Pemba. Ni bora dar kuna ombaomba weng kuliko Pemba.
Dar ina zaidi ya watu Milioni 5
Pemba ina watu chini ya laki 7
 
Nilivyokuwa natamani watoto wengi kadri muda unavyoenda nazidi kuchoka na maisha,
the idea of having a responsibility free life seems exciting at the moment!!!

Yaani nimechooka, nataka nikae tuuu mtu yeyote asihitaji chochote kutoka kwangu, do it yourself, na nisiongeleshwe pia, my mind is exciting enough for me
 
Pole mkuu watoto ni muhimu sana kama unaweza kuwatunza
 
Back
Top Bottom