Wanawake wa Pemba na Kanda ya Ziwa wapigwe sindano ya uzazi wa mpango kwa lazima, wanatesa watoto

Najua unaongea tu hujafika huko vijijini ukiwa na kauwezo kidogo nyumba yako inageuka kituo cha omba omba,wanaomba hadi mchicha pori,tuzae watoto tunaowamudu,watoto kumi sio jambo jepesi hata kama una uwezo.
Sijui kwenu mmezariwa wangapi?Sisi wengine ni zile familia za kuzaliwa watoto 10, hakuna nguo za skuku wala sijui mambo ya kitajiri,Kinyume chake wale waliokuwa malezi bora sijui kwao wanaishi kizungu,wazazi wao walishakufa, na unakuta na ndugu yake naye alikufa, sababu walizaliwa wawili, aliyebaki pekeyake amebaki mkiwa
 
Mambo yamebadilika mkuu
 
Kwani tupo china hapa?? Magufuli alisemaje tufyatuwe tu. Hio mikoa ulotembea wazazi wangapi wame kuomba msaada juu ya watoto wao??
Magufuli aliwaingiza cha kike yeye hata watoto mia mbili angeweza kuwatunza
 
Huo wakoni wivu tena uliopindukia mipaka.
Wewe lini umesikia Pemba kuna tatizo la chakula au labda watoto asilimia kadhaa wamekufa kwa kukosa chakula??

Wewe mtoto wa kiume acha umbea umbea, wacha watu wazae kama nyie wabara hamtaki kuzaa waachieni Wapemba wazae😁.

Alaf nyiny si nd mnasema wanakulana nyuma wale, sasa wanaoliwa nyuma anaeza kuzaa sana ?
Naona zile kauli zenu zinawasuta wenyewe.
 
Nakumbukaga yule mama mmja alipoulizwa mara yako kuona siku zako ilikuwa lini akajibu "sijawahi kuzio'naga ,na hapo mtu ana four kids na ni mjamzito
 
Sijajua kama umewahi kusikia kitu kinaitwa "HAKI ZA BINADAMU" unaanzaje kulazimisha mtu achome sindano za uzazi wa mpango ?

Mbaya zaidi umeshajua tatizo lipo wapi umeandika hapa
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

"Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini, hajui siku za hatari na salama ni zipi."

Unaonaje serikali ikaandaa semina maalum ya kuwafundisha namna miili yao inavyofanya kazi hasa kwenye mzunguko wa hedhi na namna ya kupanga uzazi wa mpangi usio na gharama?
 
Inaonekana wewe umetumwa,na watu wa ndoa ya jinsia mmoja, hao watu walishawahi kuja kukuomba chakula? Je kwa kuzaa watoto wachache wewe umenufaika na nani?

Sisi tunakwenda na Amri ya mwenyezi Mungu, nendeni mkazaliane mkaongezeke
Uzi ufungwe πŸ‘πŸ‘
 
Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…