Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 3,499
- 5,956
Ndoa yangu ni pesa zangu mkuu.Usingeoa son.
La sivyo utakufa mapema.....
Yes, keep on the spirit......and stay on that lane.... once you get married you are the protector, provider, etc..... akichangia fees ya watoto she is just helping you...they call it a favor...Ndoa yangu ni pesa zangu mkuu.
Mbona ishu ni simple sana mkuu, inshort siwezi kuishi na mbinafsi ndani ya nyumba yangu.Yes, keep on the spirit......and stay on that lane.... once you get married you are the protector, provider, etc..... akichangia fees ya watoto she is just helping you...they call it a favor...
Usingeoa son.
La sivyo utakufa mapema.....
Ishi na vibaka kwa usanii.Eti cha mwanaume ni cha familia, cha mwanamke ni cha mwanamke. Hivi huu ujinga ni nani aliwafundisha?
Siku zote mahusiano yenye afya yanajengwa kwa kushirikiana, si kwa mzigo kuwa kwa upande mmoja tu.
Ndio maana, ndoa zimejaa biashara na ubinafsi, badala ya kutawaliwa na upendo.
Ndoa yangu ni pesa zangu full stop.
😁😁 unamfungulia na biashara kabisa ,ngoja siku uyumbe yeye biashara ichanganye ndio utawajua vizuri.Hela ya mwanamke n chungu mno, usiipigie hesabu hela ya mwanamke.
Mbona umee anajumuika naoEti cha mwanaume ni cha familia, cha mwanamke ni cha mwanamke. Hivi huu ujinga ni nani aliwafundisha?
Siku zote mahusiano yenye afya yanajengwa kwa kushirikiana, si kwa mzigo kuwa kwa upande mmoja tu.
Ndio maana, ndoa zimejaa biashara na ubinafsi, badala ya kutawaliwa na upendo.
Ndoa yangu ni pesa zangu full stop.
Fanya kile unachoweza mkuu, biashara huwa n ya familia mkuu sio hiyo ya kummilikisha mtu mmoja.😁😁 unamfungulia na biashara kabisa ,ngoja siku uyumbe yeye biashara ichanganye ndio utawajua vizuri.
Pia ukijiwekeza vizuri, ukawa na miradi ya uhakika, basi ujue kifo kinakuita.......hawa ng'ombe hawachelewi kukutoa roho kisa mali.Ishi na vibaka kwa usanii.
Ishi na vibaka kimachale zaidi.Pia ukijiwekeza vizuri, ukawa na miradi ya uhakika, basi ujue kifo kinakuita.......hawa ng'ombe hawachelewi kukutoa roho kisa mali.
Wewe mbona ni Cheese kitambo.Mbona umee anajumuika nao
Mimi kipindi nimeoa nilishayumba nashinda home na mtoto yeye akirudi kutokea kwenye genge la nyanya nililomfungulia nilikua nasepa bar aseeFanya kile unachoweza mkuu, biashara huwa n ya familia mkuu sio hiyo ya kummilikisha mtu mmoja.
Inatakiwa zirudiwe ili mzidishe unyambilisi wa utapeli na wizi hadharani.Mahakama ziwasaidie sana kwenye ujambazi wenu.Aiiiimeeen!Mbona kila siku mnarudisha topic za nyuma?
Tumekubaliana wote kwenye kikao cha majumuisho, wanawake hatuna pesa na hatuna cha kuwaofa zaidi ya mbususu..!!