Wanawake wa sasa, wemejawa na ubinafsi na upendo wa mali

Wanawake wa sasa, wemejawa na ubinafsi na upendo wa mali

Ishapita na hatubadilishi katiba mpk CCM wakubali kutunga katiba mpya ndio na sisi tutawafikiria..!! 😹😹
Ninyi ni vibaka kabisa.Tutaishi na ninyi kigumu tu.Wewe kibaka,unanizalia watoto majambazi halafu mnanishambulia.Looh!Kazi ipo!
 
Endelea kuwa na wrong mindset, kwa kujipa majukumu ambayo haustahili.
Ndio maana ikaitwa Ndoa = (mume + mke) = {Watoto}
Nilikuwa nakusoma taratibuu...nimegundua una roho ngumu kiasi kwamba unaweza ua mtu,choyo,ubinafsi,roho ya kwanini....yaan umejaa takataka zote kiasi kwamba kusafishika ni kaburi tu🙌
 
So na nikipata mcheps napo...mcheps is just helping her
Yes, keep on the spirit......and stay on that lane.... once you get married you are the protector, provider, etc..... akichangia fees ya watoto she is just helping you...they call it a favor...
 
Yes, keep on the spirit......and stay on that lane.... once you get married you are the protector, provider, etc..... akichangia fees ya watoto she is just helping you...they call it a favor...
Na siku akichangia hiyo school fees ataongea mwaka mzima! wakati sisi wanaume tunafanya vitu kibao kwa ajili ya familia
 
Kaka sapoti najipa mwenyewe ujue mimi nae ni binadamu tu😁😁, jukumu la maisha yangu lipo kwangu
Ila la pombe lipo kwao 😂
Ila tutafute hela maana ukiwa na shida washkaji wataishia kukulipia bia tu.
 
Msilaumu wanawake wote!!! Wapo baadhi wanatabia za ovyo na wengine wako vizuri!!!!.
Mi naona mnazokuza mno hizo tabia za wanawake ambao wako vibaya kwa tabia.... Hizo thread za kuwananga wanawake zitakuja kusomwa na kizazi kijacho jamani!!
Wadogo zetu na watoto wetu pia wanahitaji kujua upande wa pili wa mwanamke na mazuri yake pia.
Na bado mpaka mnyooke
 
Back
Top Bottom