Wanawake wa sasa, wemejawa na ubinafsi na upendo wa mali

Msilaumu wanawake wote!!! Wapo baadhi wanatabia za ovyo na wengine wako vizuri!!!!.
Mi naona mnazokuza mno hizo tabia za wanawake ambao wako vibaya kwa tabia.... Hizo thread za kuwananga wanawake zitakuja kusomwa na kizazi kijacho jamani!!
Wadogo zetu na watoto wetu pia wanahitaji kujua upande wa pili wa mwanamke na mazuri yake pia.
 
Nafikiri watu wengi wanazichukia ndoa kwasababu ya kutokupata wenza ambao ni sahihi, napia kutokutambua nafasi zao ndani ya ndoa.
Mkuu......
Ukimuoa mke maanayake unammiliki yeye na kilakitu chake. Hivyo basi hata mshahara wake ni wewe ndie mwenye mamlaka na kutolea maelekezo pia.
 
Yes, keep on the spirit......and stay on that lane.... once you get married you are the protector, provider, etc..... akichangia fees ya watoto she is just helping you...they call it a favor...
Not favor ni jukumu la kuwa msaidizi!

Wakati wa kula matunda baada ya watoto kufanikiwa anaaanza kula nani!!?chunguza hilo!!
Watoto wote wanaimba "hakuna kama mama" hata matunda anaanza mama ndio baba!kachunguze!
 
Ni kweli...Ila wanawake wengi hawaafiki hili.
Huwa wanaamua kusaidia tu na binafsi kuepusha vita nimekubaliana nalo....majukumu ya nyumbani ni ya kwangu....Mama ashiriki nashukuru siku akisema anataka kujinunulia kitenge sibishani....
 
Nafikiri watu wengi wanazichukia ndoa kwasababu ya kutokupata wenza ambao ni sahihi, napia kutokutambua nafasi zao ndani ya ndoa.
Mkuu......
Ukimuoa mke maanayake unammiliki yeye na kilakitu chake. Hivyo basi hata mshahara wake ni wewe ndie mwenye mamlaka na kutolea maelekezo pia.
Sio wanawake wa zama hizi za AI.
 
Ni kweli...Ila wanawake wengi hawaafiki hili.
Huwa wanaamua kusaidia tu na binafsi kuepusha vita nimekubaliana nalo....majukumu ya nyumbani ni ya kwangu....Mama ashiriki nashukuru siku akisema anataka kujinunulia kitenge sibishani....
Kwa afya yako ya akili na mwili, kataa ndoa mkuu.
 
Nafikiri watu wengi wanazichukia ndoa kwasababu ya kutokupata wenza ambao ni sahihi, napia kutokutambua nafasi zao ndani ya ndoa.
Mkuu......
Ukimuoa mke maanayake unammiliki yeye na kilakitu chake. Hivyo basi hata mshahara wake ni wewe ndie mwenye mamlaka na kutolea maelekezo pia.
Uko sawa mkuu. Sidhani kama naweza kukubali kuishi na mtu anasema yeye ana chake tu na cha kwangu cha kwetu sote. Hakuna hata maana ya kuoa sasa.
 
Kuwa mpole...sisi wazee tuliumbwa tofauti na nyie.....

Sijui Jana pesa ya chumvi katoa nani leo ni zamu ya nani....yalishapita.

Swali let's say una watoto watatu ....wote wanaenda shule, wqnatakiwa kula na kuvaa..... Ni jukumu la nani kutekeleza haya yote?
Ni jukumu la wazazi.
 
Ni jukumu la

Ni jukumu la wazazi.
Ni lako kwanza Kisha kama utaweza kumshawishi mkeo aamini unavyoamini utakuwa umeupiga mwingi. Wewe ndiye kiongozi wa familia kama umeoa mwanamke..... maamuzi ya kifedha etc ndani ya familia wewe ndiye mwenyekiti....

Hata kampuni zina viongozi....
 
Endelea kuwa na wrong mindset, kwa kujipa majukumu ambayo haustahili.
Ndio maana ikaitwa Ndoa = (mume + mke) = {Watoto}
 
Kuna mtoto mmoja ana hela balaa namlia timing na mimi ili iwe ubaya ubwela.
 
Back
Top Bottom