Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Hongera sana mkuu itakuwa we ni dealer wa pombeMno kaka yani pombe naipenda mno , na imenipa maisha kwa nini nisiisemee vizuri?
Hongera sana mkuu itakuwa we ni dealer wa pombeMno kaka yani pombe naipenda mno , na imenipa maisha kwa nini nisiisemee vizuri?
😁😁 kwanini masterHongera sana mkuu itakuwa we ni dealer wa pombe
Umesema imekupa maisha😁😁 kwanini master
Kabisa bro, uko wapiHela ya mwanamke n chungu mno, usiipigie hesabu hela ya mwanamke.
Nipo mikwambe hukuKabisa bro, uko wapi
Nakupigia simu nikupe salamu za idi au umekaa pabaya?Nipo mikwambe huku
Taya ma,uri ya huyo mwanamkeMsilaumu wanawake wote!!! Wapo baadhi wanatabia za ovyo na wengine wako vizuri!!!!.
Mi naona mnazokuza mno hizo tabia za wanawake ambao wako vibaya kwa tabia.... Hizo thread za kuwananga wanawake zitakuja kusomwa na kizazi kijacho jamani!!
Wadogo zetu na watoto wetu pia wanahitaji kujua upande wa pili wa mwanamke na mazuri yake pia.
Piga tu bro hakuna shida nipo sehem salama.Nakupigia simu nikupe salamu za idi au umekaa pabaya?
Kaka kaskazini tunalipa pesa mingi sana kwa hiyo nchi , usituchukulie poa na bangi zetu mkuu.Chuga hiyo
Utatmba pesa bro???!!! Kunjua moyo kunjua wallet maisha ndo haya haya kakaNdoa yangu ni pesa zangu mkuu.
Naelewa mkuu mnajitahidi sanaKaka kaskazini tunalipa pesa mingi sana kwa hiyo nchi , usituchukulie poa na bangi zetu mkuu.
Hivi unajua wewe ndio sababu ya mimi kuwa humu bro?Utatmba pesa bro???!!! Kunjua moyo kunjua wallet maisha ndo haya haya kaka
Sa si tuonane uniambie ahsante bro 😁Hivi unajua wewe ndio sababu ya mimi kuwa humu bro?
Bro tutaonana tu ,siku moja😁Sa si tuonane uniambie ahsante bro 😁
Usimfosi mbuzi kubweka kaka, ndo hivyo walivyo na wewe jua kutumia akili zako, ukifilisika wewe mwanamke ansbaki na pesa zake, na pesa yake ni chungu hukawahi kuona...akili kumkichwaEti cha mwanaume ni cha familia, cha mwanamke ni cha mwanamke. Hivi huu ujinga ni nani aliwafundisha?
Siku zote mahusiano yenye afya yanajengwa kwa kushirikiana, si kwa mzigo kuwa kwa upande mmoja tu.
Ndio maana, ndoa zimejaa biashara na ubinafsi, badala ya kutawaliwa na upendo.
Ndoa yangu ni pesa zangu full stop.
Upendo, upendo kwa familia yake mume na watoto, kampani ile ya kwenye ndoa yaani sijui unaelewa!? Kumbato flani hivi.... Ushauri,, kusapotiana,, unapata msiri wako. mazuri ni mengi!.Taya ma,uri ya huyo mwanamke
Lakini ukweli mchungu Dada yangu.Nilikuwa nakusoma taratibuu...nimegundua una roho ngumu kiasi kwamba unaweza ua mtu,choyo,ubinafsi,roho ya kwanini....yaan umejaa takataka zote kiasi kwamba kusafishika ni kaburi tu🙌