Ishapita na hatubadilishi katiba mpk CCM wakubali kutunga katiba mpya ndio na sisi tutawafikiria..!! πΉπΉInatakiwa zirudiwe ili mzidishe unyambilisi wa utapeli na wizi hadharani.Mahakama ziwasaidie sana kwenye ujambazi wenu.Aiiiimeeen!
Ninyi ni vibaka kabisa.Tutaishi na ninyi kigumu tu.Wewe kibaka,unanizalia watoto majambazi halafu mnanishambulia.Looh!Kazi ipo!Ishapita na hatubadilishi katiba mpk CCM wakubali kutunga katiba mpya ndio na sisi tutawafikiria..!! πΉπΉ
Nilikuwa nakusoma taratibuu...nimegundua una roho ngumu kiasi kwamba unaweza ua mtu,choyo,ubinafsi,roho ya kwanini....yaan umejaa takataka zote kiasi kwamba kusafishika ni kaburi tuπEndelea kuwa na wrong mindset, kwa kujipa majukumu ambayo haustahili.
Ndio maana ikaitwa Ndoa = (mume + mke) = {Watoto}
Kwann ulikwa unamkimbia wife.Mimi kipindi nimeoa nilishayumba nashinda home na mtoto yeye akirudi kutokea kwenye genge la nyanya nililomfungulia nilikua nasepa bar asee
Hadithi ya kumwacha ni ndefu mno kakaKwann ulikwa unamkimbia wife.
Yes, keep on the spirit......and stay on that lane.... once you get married you are the protector, provider, etc..... akichangia fees ya watoto she is just helping you...they call it a favor...
Pole mkuu ni changamoto ambao atujaoa hadi tunaogopa.Hadithi ya kumwacha ni ndefu mno kaka
Ulikuwa unazo hela mkuuMimi kipindi nimeoa nilishayumba nashinda home na mtoto yeye akirudi kutokea kwenye genge la nyanya nililomfungulia nilikua nasepa bar asee
Nipo kwenye ambao hatujaoa ila nilishawahi kuoaπPole mkuu ni changamoto ambao atujaoa hadi tunaogopa.
Sikua na pesa zaidi ya marafiki kunipa uleviππUlikuwa unazo hela mkuu
Badala wakupe sapoti wanakupa pombeSikua na pesa zaidi ya marafiki kunipa uleviππ
Kaka sapoti najipa mwenyewe ujue mimi nae ni binadamu tuππ, jukumu la maisha yangu lipo kwanguBadala wakupe sapoti wanakupa pombe
Atakufa kifo kibaya. Mke akiamwambia amechoka atarudi kulalamika.Usingeoa son.
La sivyo utakufa mapema.....
Na siku akichangia hiyo school fees ataongea mwaka mzima! wakati sisi wanaume tunafanya vitu kibao kwa ajili ya familiaYes, keep on the spirit......and stay on that lane.... once you get married you are the protector, provider, etc..... akichangia fees ya watoto she is just helping you...they call it a favor...
Ila la pombe lipo kwao πKaka sapoti najipa mwenyewe ujue mimi nae ni binadamu tuππ, jukumu la maisha yangu lipo kwangu
Na bado mpaka mnyookeMsilaumu wanawake wote!!! Wapo baadhi wanatabia za ovyo na wengine wako vizuri!!!!.
Mi naona mnazokuza mno hizo tabia za wanawake ambao wako vibaya kwa tabia.... Hizo thread za kuwananga wanawake zitakuja kusomwa na kizazi kijacho jamani!!
Wadogo zetu na watoto wetu pia wanahitaji kujua upande wa pili wa mwanamke na mazuri yake pia.
Mno bro na la pombe kwangu ni la muhimu mnoIla la pombe lipo kwao π
Ila tutafute hela maana ukiwa na shida washkaji wataishia kukulipia bia tu.
Unazingatia sana gambeMno bro na la pombe kwangu ni la muhimu mno
Mno kaka yani pombe naipenda mno , na imenipa maisha kwa nini nisiisemee vizuri?Unazingatia sana gambe