Wanawake wa sasa, wemejawa na ubinafsi na upendo wa mali

Usimfosi mbuzi kubweka kaka, ndo hivyo walivyo na wewe jua kutumia akili zako, ukifilisika wewe mwanamke ansbaki na pesa zake, na pesa yake ni chungu hukawahi kuona...akili kumkichwa
Sasa hapo rafiki wa kweli ni yupi? Pesa zako au Mke wako.
 
Wanawake wema wapo, ila wachache leo dada
 
Wanawake usiwahurumie mkuu
Niliwahi Fanya hilo kosa kubwa mkuu alipofika kwenye peak nikasikia"najua ni akaunti yangu ndio inakutesa kwasababu ulizoea kuishika akaunti yangu"!!!!!!Nikamuuliza!WAKATI UNAFIKA HAPA NA BEGI NA MTOTO WA MIEZI MITATU AKAUNTI YAKO ILIKUA NA SH.NGAPI!!?Hakujibu!!

HUTAKIWI KUFIKIRI KUNA KIUMBE ANAITWA MWANAMKE WA KU CONSIDER IN REAL LIFE!ISHI KIVYAKO TU UKIWA HURU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…