Wanawake wa Shinyanga hatari tupu, Kajala, mke wa Masanja na mke wa Haji Manara wote kwao Shinyanga

Mimi huwa nakuwa convinced na hoja za kisayansi zenye ukweli na siyo kuambiwa niamini kama msukule.

Kuna hoja gani ya kisayansi inayotoa mtazamo wa kuwa, wanaume wote wanateswa na wanawake (mapenzi)kama wewe??

Hebu ilete hapa, tuone.
 
Mi nimeoa Mnyaki ndugu yangu na tangu nizaliwe sijawahi kula mbususu ya binti wa Kisukuma maana walikuwa wagumu sana enzi zangu za ujana kabla sijazeeka.

Kwa hili sina comment ila wakati mwingine tatizo pia linaweza kuwa la wanaume. Hao wote (Masanja na Manara) ni kama wanastahili tu kuchapiwa! [emoji16][emoji16][emoji16]

Ni hayo tu kwa sasa!
 
Unyamwezi mwingi sana hapa 😆🤣😂
 
Hiyo minyatuzu ya kike ina dharau sana na roho ngumu
Juzi nikiwa mwanza kuna moja nililipa kazi yangu flani nikampatia advance then baada ya siku 3 nikampatia hela yote iliyobaki kwani mwanae aliumwa....baada ya malipo hakumaliza ile kazi na akapotea....nilimdharauuuu kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…