makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kaabisa, inakuwa ndoanoKabisa mwamba,kwanza huwez ukawa ndo MTU wa kwanza kuishi bila mke au mume.Maisha ya ndoa ni furaha,kama aman hakuna ...siyo ndoa hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaabisa, inakuwa ndoanoKabisa mwamba,kwanza huwez ukawa ndo MTU wa kwanza kuishi bila mke au mume.Maisha ya ndoa ni furaha,kama aman hakuna ...siyo ndoa hiyo
Sipo kwenye hilo kundi mkuu, we niamini mimi hata kama ni ngumu.Huku ni kujifunika kichwa kama mbuni ukitegemea huonekani.
Mimi huwa nakuwa convinced na hoja za kisayansi zenye ukweli na siyo kuambiwa niamini kama msukule.Sipo kwenye hilo kundi mkuu, we niamini mimi hata kama ni ngumu.
Mimi huwa nakuwa convinced na hoja za kisayansi zenye ukweli na siyo kuambiwa niamini kama msukule.
Mnapoambiwa kuwa robo 3 ya watanzania ni wasukuma muwe mnaelewaSema hujanijibu swali, hawa wa shinyanga sasa ni kabila gani?
Ni ujinga kutoa hitimisho la jumla.Ukitaka kwenda kuoa Shinyanga nenda na adabu zote, usije jikuta unaambulia maumivu ya moyo.
Mi nimeoa Mnyaki ndugu yangu na tangu nizaliwe sijawahi kula mbususu ya binti wa Kisukuma maana walikuwa wagumu sana enzi zangu za ujana kabla sijazeeka.Shimba ya Buyenze tia neno hapo
Unyamwezi mwingi sana hapa 😆🤣😂Ni kweli. Kuna jamaa yangu mmoja namfahamu, yeye na mke wake ni kama wako kwenye ''open relationship''. Mke akipa nafasi anachepuka, mume naye akipata chance anajibu mapigo. Wakiishi wote kwa mwezi mmoja, mwezi wa pili wanatengana, baada ya mwezi tena wanarudiana. Ila watoto wanazaa pamoja.
Wanasiasa usukuma wanaweza kuusogeza mpaka morogoro wakiamuaMnapoambiwa kuwa robo 3 ya watanzania ni wasukuma muwe mnaelewa
Shinyanga ni wasukuma pia
Mnapo tusema vibaya Wahaya huwa mnatoa hitimisho la vipi?Ni ujinga kutoa hitimisho la jumla.
Wakiwa muginiWakiwa Shinyanga?
Bila kusahau viyokolo🤣🤣🤣Rushayna yupo kwa Mmakonde anakula chikandanga, ming'oko na mibao.
Kuna mzungu tunafanya naye kazi, alituuliza ,hivi bado mnaamini hizi simulizi na hadithi, tukabaki tunatoa machoHili ni la kufikiria sana. Inabidi uletwe uzi. Refer Wazungu walioleta dini(maovu yao, and they don care anything)
Sipo kwenye hilo kundi mkuu, we niamini mimi hata kama ni ngumu.
Samaki mmoja akioza waote wanaoza, hao ni wawakilishi wa wengine.Kwahiyo hao wanawake watatu ndio wanawakilisha wanawake wote wa Shinyanga? Hao walikua na watu maarufu ndio maana umewajua.
Kwahiyo kuna jamii zingine ambazo wote ni wasafi na hawana hata Samaki mmoja aliye oza?Samaki mmoja akioza wote wanaoza, hao ni wawakilishi wa wengine.
Ni sample tuu