Wanawake waislam wanaheshimu sana wapenzi wao

Wasalaam JF

Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha.

Mungu awatie nguvu mshichoke wala kukengeuka.

Inshallah imani isiwatoke vyovyote hata ukiteleza katika ukanda wa Dunia basi hivo hivo Mungu awe ndani yako Daima.

Hongereni sana sana, mashekhe, walezi, na wazazi.

🙏🙏🙏

Wadiz
Nakubaliana na wewe
 
Kuna siku nilishuhudia mume amemfumania mke wake na kibenten pale kisiwandui zanzibar nilishtuka kwasababu mwanamke yule namjua huwa anashinda na majuba. Nika uliza nikaambiwa mbona huku znz ishazoeleka, wanaoongoza kwa uzinzi ni wake za watu kwasababu mume ana wake wanne, mke anapata muda wa kwenda kupuyanga.

Basi mtoa mada sina budi kusema uko sahihi, hawa tunaowaona huku znz wanachepuka na wanashinda kufanya ujinga ni wanawake waki kristo wanaojivika majuba tu.
 
Wasalaam JF

Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha.

Mungu awatie nguvu mshichoke wala kukengeuka.

Inshallah imani isiwatoke vyovyote hata ukiteleza katika ukanda wa Dunia basi hivo hivo Mungu awe ndani yako Daima.

Hongereni sana sana, mashekhe, walezi, na wazazi.

🙏🙏🙏

Wadiz
Mwenyewe nahisi ni kweli.
 
Back
Top Bottom