Wanawake waislam wanaheshimu sana wapenzi wao

Wasalaam JF

Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha.

Mungu awatie nguvu mshichoke wala kukengeuka.

Inshallah imani isiwatoke vyovyote hata ukiteleza katika ukanda wa Dunia basi hivo hivo Mungu awe ndani yako Daima.

Hongereni sana sana, mashekhe, walezi, na wazazi.

🙏🙏🙏

Wadiz
Uko sahihi kabisa... mie mkristo ila napendezwa sana na wanawake wa kiislamu.
Kazini kwetu kuna mseto wa watu wa imani tofauti wake na wanaume, wanawake wengi kama sio wote wa kikristo wana maongezi na wanaume ya kimalaya sana, yaani maomgezi yao na wanaume wanaonyesha kabisa wanatongozeka... tofauti kabisa na wanawake wa kiislamu...
 
Ila ni kwa mwanamke wa kiislamu aliyeelimika walau mpaka elimu ya sekondari, wale kuku wa kienyeji nao ni kero
 
😂 waigizaji tu ili wakichepuka usiamini maneno ya watu au ukimfumanie uhisi ni shetani tu...
 
Wanawake wa kiislamu ni wasafi aise.

Ni wanyenyekevu na heshima ya juu kabisa.

Nina ushahidi na hili maana hawezi kukunawisha mikono huku amesimama wima kama mlingoti.
 
Wengi wao ni malaaaayyyaaaaa mbwaaaaaaa..hawajuagi kukataa!
Sidhani kwa kiasi hicho. Mwanamke wa kiislam, aliye lelewa na kukuzwa kiislam. Akaishika dini ndiyo wanawake best. Wanaadabu, wanajua kumbembeleza mume, wanyenyekevu, wasafi wa mwili hata roho pia, wanajua kuandaa mazingira ya mapenzi. Wanajua kupika, wanajua kuongea kwa ustaarabu na kuvutia.
Wanamapozi fulani hivi. Na wanajua kudeka kiasi chake.

Mwanamke wa kiislam si wasumbufu, hawana tamaa, na akipenda anapenda haswa labda tu iwe vingine. Wanayajua mapenzi. Hawana tamaa zisizokuwa na msingi. Hawana masuala ya feminism sijui mwanamke sawa na mwanaume.

Mimi mkristo lkn nimekuwa na mahusiano ya wadada wa kiislam, ni tofauti kabisa na upande wa pili hasa Wadada wa Kikristo. Yaani hawa wakristo wenzangu ni shida, balaa, ugomvi hauishi ndani, hakuna heshima kwa mume. Wao wanahitaji haki sawa. Ni wepesi wa kuvunja ndoa.

Mashekhe, Maalim, na hata wazazi wa kiislam walio katika imani ya Mtume SAW, Mwenyenzi Mungu akupeni kheri, mnajua kulea na kufunza, pia kuadabisha.

Lakini pia hawa wadada wa kiislam kwakua wanajua kujitunza uwa ni watamu. Na wanajua kujisitiri. Si midada ya kikristo inadhani kuacha mapaja wazi ndo kuonwa uzuri wao. Uwa najisikia kichefuchefu.
 
Yanii maji mara moja ni kugusa tu!
 
Back
Top Bottom