Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Kweli kabisa..mafuta lita yaagizwe nilipe
its
 
Jamii ya Kiafrika familia ni kila kitu, ukifikisha miaka 30 unaulizwa una watoto wangapi. Wakati kichwani unawaza kupata sponsor wa PhD.

Wengine watoto kwao si kipaumbele, ndiyo maana wanaotegeshea mimba inakula kwao. Kuna wanaooa kwasababu amempa mimba nwanamke na hataki watoto wake wapate tabu.
 
Tatzo lao kubwa wanatka wanaumme waliokwisha fanikiwa. Ndo umemaliza masomo bado mambo hayajakaa sawa hawataki kuskia hicho kitu. Japo wapo wachache wanaowaelewa.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Wako wanawake walioelewa wakaishi na wanaume kwa vipato vyao. Mwsho wa siku yule boko haram alivyopata mafanikio mwanamke huyu hakuna rangi aliacha kuiona. Too sad.

Mara anaanza kuona madhaifu kuwa makubwa sana. Anajifanya kamuona mwngne mwenye tabia na haiba nzuri kushinda huyu alomvumilia. Kwa jeuri anamuacha huyu na kwenda kwa huyu. Hili jambo ndo limefanya wanawake wengi wasitake kusikia habari za kustruggle na mwanaume. Baadhi ya baba zetu baada ya kuyapatia maisha mama zetu wakaletewa ndugu zetu from external sources wengi tu..hata babu zetu pia.

Tuache unafiki. Many of the families ambazo zina bibi watatu au wanne angalia shangazi, mama, baba na uncles kama kuna ule umoja percee. Wajukuu ndo kabisaaa. Kuchanganya madesa kunaharibu unity katika familia.
Nshatoka out of topic mtumeee..
 
Sio kipaumbele ila ni muhimu
Kama pesa ilivyo na umuhimu kwenye maisha.kama unaweza kufanya kazi usiyoipenda kabisa kwa maisha yako yote kisa upate pesa ndivyo hivyo hivyo watu wanajibebesha mimba ilimradi wapate ndoa/familia

Phd ni muhimu ila ukiwa na familia inayoeleweka inafanya Phd yako iwe nzuri zaidi
Ila ukiwa na Phd bila familia inashusha thamani yako ambayo ulidhani ungeipata kupitia hyo Phd
 
Kinacho waponza wanawake wa Kitanzania ni kudanganywa na viongozi wa dini na motivation speakers kwamba Mwanaume atakaye kutaka lazima awe na pesa lazima akutunze kama malkia...
Ukweli ni kwamba ukiona mwanaume ana pesa za kuweza kukuridhisha ujue kuna mwanamke nyuma yake alianza naye from zero, kwahiyo kwako anatumia pesa kujiburudisha na kukudampo baada ya muda na kubaki na mwanamke wake...
Ndiyo maana sikuhiz wanawake wengi wanajikuta ni malaya kwasabab ya kupenda pesa wanakuja kushituka miaka 30 hii hapa, ndiyo wanatambua kumbe mahusiano sio pesa ni kuwa committed na mtu, the moment akili zina warudi hakuna mwanaume anataka kuoa mwanamke ana miaka 30 kashazeeka kachoka na sura imepoteza nuru kwa kulala na Wanaume...
Mimi nashauri vijana endeleeni kuwachezea hawa wanawake wanaopenda pesa hadi wafe bila kizaz. Uzuri kijana wa kiume unaoa muda wowote unaotaka wewe kazi kwao. Wanawake ambao mpo below 30 badirikeni otherwise mtaishia kuitwa Madungaembe...
 
Deby umeongea kitu kikubwa sana. Wengi wanaowangelea maex zao vibaya sana au kuchekelea wakipatwa na mabaya; either bado wanawapenda au bado wapo bitter kwa sababu waliachwa. So kuona kwamba watu waliowaacha bado hawajaolewa; kunaupa raha uchungu uliopo moyoni wao. Shit happens kwenye mahusiano lakini tunasamehe na kusonga kwa amani. Tena kama uliachwa na leo upo mahali pazuri; ndiyo kwanza unashukuru uliachwa maana asingekuacha leo usingekuwa na mahusiano yako unayoyafurahia hivyo. Lakini inaonesha wengi hawana furaha na mahusiano yao, ndiyo maana kila siku kuchungulia na kuwatega maex zao; inawapa ahueni kuona mambo hayajawakalia vizuri.

Hata ulimwengu upinduke Leo; haitotokea kwamba wanawake wote waolewe below 30; Kila mtu ataolewa kwa wakati wake. Na haimaanishi aliyeolewa na miaka 23 ni msafi au hakuwahi kufanya makosa ndiyo maana akaolewa mapema; na hawa 30+ ambao hawajaolewa wote ni wachafu na walifanya makosa makubwa huko nyuma ndiyo maana hawajaolewa hadi leo. Au kwamba waliopo kwenye ndoa wana amani sana na mafanikio kuliko single. Ndiyo maana kuna divorces,separation kutoana roho, cheating kila siku kwa wanandoa n.k; je kuolewa mapema ndiyo guarantee ya kuwa wewe ni wife material na kudumu kwenye ndoa?

Binti wa kwanza kuolewa darasani kwetu (chuo) ni wale mabinti ambao kwa macho yetu ya kibanadamu; unasema hakuna mwanaume mwenye akili timamu atakayemuoa huyu. Anakwambia kabisa Mimi nikimaliza kulala na boyfriend wangu naingia kwenye wallet, nachomoa hela naondoka; sifanywi bure. Hapo ana wanaume zaidi ya watatu na anakwambia kabisa katika hawa wote lazima tu kuna mmoja atakuwa na wazo la ndoa so nitaolewa na huyohuyo; unlike nyie mnaodate mtu mmoja for years afu ukija kuachwa umri unakucheka. Na kweli hatujafanya hata graduation alikuwa ameshaolewa tayari. Je huyu ni mtakatifu na hajatumika kuliko mabinti wote 30+ singles?

Mwenyekiti wetu wa dini aliolewa akiwa na miaka 30 na akiwa virgin bado; je alikuwa na tatizo lolote au alichagua chagua sana umri ukaenda? So sio sawa kuconclude kwamba Kila aliye 30+ ni ana ana matatizo na ametumika kuliko wa 20s. Wapo wengi tu wanaojitunza miili yao, wanaamua kuendelea na mambo yanayoadd value kwenye maisha yao huku wakisubiri wakati na bahati zao; yes maisha lazima yaendelee, what if usipokuja kuolewa?. Kuolewa in your 20s sio kwamba ndiyo mtakatifu au unafaa sana kuliko wengine; ni vile tu wakati wako na bahati yako ilifika mapema kabla ya kwa mwenzio.

Tupunguze kuwapa pressure hawa mabinti; hata sisi kuna vitu kibao hatuna na wenzetu walivipata mapema sana. Wakati na Bahati huwapata wote (Mhubiri 9:11). So Kila mtu ataolewa kwa wakati wake; na hata atakayeolewa akiwa na miaka 45 still hiyo ni achievement kwake sawa na ambaye tu alipata achievement yake akiwa 20s. Hakuna Mungu kati yetu; so tusiwekeane Timelines zetu za kibinadamu. Cha muhimu ni kuwasisitiza tu kwamba; wajitunze na waendelee kuserve purpose zao.
 
Kumbe...ila wanawake nanyi mnakuaga akili fyatu sana...sasa miaka minne wee u ageggedwagwa tuu🤣🤣🤣🤣 hustiki kuwa unahitaji kuolewa.

Mie mbona wangu alinipa ultimatum alivyoona mwaka na nusu hamna muelekeo wa mzabzab kuoa.....na kweli akaenda akolewa
 
Huyu mwanamke bonge la genius...alikuwa anajua kabisa kuwa duniani principle ni kwamba mwanaume anahudumia mwanamke anatoa mbususu
Tatuzo ya wanawake wengi wanataka kupiga wanaume mizunga alafu mbususu hataki kutoa.
 
Sekooooo ya leeoooo

Mbengoooo zememuonekaneea

Mama mochongaajiii

Hakeeekaa zetafoooongokaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…