Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Mapenzi mapenzi mapenzi,,, 😂😂😂jamaa una ujasiri Sana,,

Ambacho naweza kuchangia ni kwamba kila mtu ako na taste yake katika mapenzi wengi wanaowananga above 30 humu nawaona Kama wavulana sababau hata hao 20's wanasogea kwenye 30's ingekuwa neno lao ni sheria hakika wanawake tungeteseka Sana, huku kitaa wanaume wanataka wanawake wakubwa/single mama ndo katrend kalikopo saiv,, na wanaolewa kwa Kasi kuliko mabinti wadogo,, mtu anaacha binti mbichi kwa utashi wake na kuoa mdada mwenye nzao 3-4

Ila wewe nguvu ya mapenzi yako sijawahi kukutana nayo,, mnapendana hadi mmezidi,, doh siwezi hata kutia neno japo mnamkosea mumewe
 
Mafanikio ni dhana pana sana, inategemeana mtu ana-define vipi mafanikio yake.

Mtu mwingine mafanikio kwake ni kuwa na madaraka ya kuweza kuwaongoza wengine, kwahiyo mtu huyu hata angalikuwa na pesa kiasi gani bado ataona hajafanikiwa.

Mtu mwingine mafanikio yake ni kuwa maarufu Kama akina Diamond, Obama nk, hata angekuwa na vitu vingine vingi bila ya kuwa maarufu ataona hajafanikiwa.

Na mafanikio mazuri ni yale ambayo mtu alijiwekea malengo yeye mwenyewe, na sio kufuata mitazamo ya jamii au watu wengine, lazima uwe na kipaumbele chako au dira yako inayokuongoza kufikia mafanikio yako.

Mafanikio kwa mlengo wa kuridhisha jamii fulani yanaweza yasimpe mtu furaha ya kweli.
 
Mafanikio yanareference yake
Huwezi kutamani kuwa kama diamond kama jamii inayomzunguka diamond haikumpa heshima diamond
So mafanikio hayawezi kuwa self defined purely yanainfluence ya jamii
Huwezi ukaishi kwa amani kama jamii inayokuzunguka haikupi heshima
Labda uamue kukengeuka na kutojali either kwa kushindwa kukipata kile ambacho jamii yako inaona inafaa uwe nacho au kufata kile unachokipenda
lakn ita affect sehemu kubwa ya uhuru na amani yako
 
Sema dada sema. Ujue hii inaonyesha jinsi watu tuna darkness ilokithiri katika mioyo yetu. Tunafurahia kuanguka kwa mtu like seriously. Ok sawa alikudharau na shit happened lakini embu mtu ajichunguze...penye dharau ndo penye mafanikio makubwa na kupiga hatua.

Lakini we are busy searching our past enemies bila kujua they were our stepping stones. Sio poa kuchekelea mabaya ya any body...haitakusaidia rather itazidi kukufanya mbovu na mindset ya kishubwada.

Hata siku moja siwezi furahia ex wangu yeyote apatwe na mabaya....because fate haikutaka tuwe pamoja basi fresh. Kutana naye awe njema awe mbaya salimia..ongea nae..kama atahitaji msaada out of humanity fanya afu pita ivi usiendekeze communication.

Mambo kama haya they will make us better human beings and roho zetu zitapanda viwango kichizi.

Mi ata ex aniletee kadi sijui mchango, mwaliko kiroho safi naruka tyuuu. Kwani shingapi...
Life is soo simple..tupa hatred move on ukichukia dunia hutamaliza msee...
 
Baba unaangalia sura tena😂😂 si mlisema kigezo ni tabia njema?
Na sura muhimu pia na yaliyomo yamo..? Msambwanda kiasi mixer no kitambi afu usiwe mfupi saana na uwe na hekima pia usiwe mnywa pombe wala muumini wa viwanja vya starehe. Pia usiwe chibonge uwe na mwili wa size ya kati sio bonge sio mwembamba
 
Na sura muhimu pia na yaliyomo yamo..? Msambwanda kiasi mixer no kitambi afu usiwe mfupi saana na uwe na hekima pia usiwe mnywa pombe wala muumini wa viwanja vya starehe. Pia usiwe chibonge uwe na mwili wa size ya kati sio bonge sio mwembamba
Vigezo vyote hivyo mkuu, huyu ni malaika kabisa siyo binadamu 😂😂
 
Kuna mmoja alinitema wakati tuko kidato cha 4. Sasa katika mishe zangu nikakutana nae mwaka jana nikamla kimasihara. Nikampa ukweli mie nimeoa Ila naona bado tu amekomaa na mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…