ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Wa hivyo anaweza kuwa msumbufu sana, bora experience kidogo.[emoji23][emoji23] naona umeanza na kunicheka. Kweli wapooo. Unafungua bokx mwenyewe [emoji2957]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa hivyo anaweza kuwa msumbufu sana, bora experience kidogo.[emoji23][emoji23] naona umeanza na kunicheka. Kweli wapooo. Unafungua bokx mwenyewe [emoji2957]
Sasa wewe unaumizwaje na jitu usilolijua?Ahsante kwa kutufariji mkuu
Kabisa sitoumia tena.Sasa wewe unaumizwaje na jitu usilolijua?
Mtu hujui hata laifu lake anakushambulia uumie kwa lipi sasa?
Mapenzi mapenzi mapenzi,,, 😂😂😂jamaa una ujasiri Sana,,Naendelea...
Sisi Wanaume wengi wetu tuna mahitaji madogo na machache yanayofanana linapokuja suala la Ndoa. Lakini sio kwa nyinyi wenzetu Wanawake kwakua mna mahitaji mengi tena makubwa na yanayokinzana na wengine hivyo kupeleka mchafuko na vurugu sana.
Mimi binafsi nina 36 now na sijaoa mpaka sasa. Ila ninayempenda na kutamani kumuoa na kuishi nae ana 42 na ameshaolewa na mtu mkubwa tu Serikalini kwasababu ya ushawishi wa Wazazi na Nguvu ya Fedha.
Ni miaka 14 sasa tupo kwenye Mahusiano ya Siri tena yenye Mapenzi Mazito na Makubwa Mno. Tulikutana mimi nikiwa University nna 22 na yeye akiwa na 27/28.
Tulipenda sana na hasa ukizingatia yeye alikua jamaa ya watu wa nje hawa Waarabu hawa lakini ni Full Wife Material kabisa yaani Msafi sana Aaf, yule ambaye anakua kama BiMkubwa wako full kukulea, shughuli zote za nyumbani anajituma sana alafu Mkimya sana yaani Dini kwa sana na anajua kujistiri mno na chumbani ni Motoo kama ana jini Mahaba.
Taikon nlikua sina maisha at that time... Chuo kigumu na ukizingatia home kwetu kawaida sana. Akanitangazia kuwa anatakiwa aolewe na kwao yeye ndiye 1st born kwahiyo hawezi kurukwa lazima aanze na Mzee wake keshapokea barua 3 za wenye Nia. Daah!! Ilikua habari mbaya lakini sikua na budi nikakubali tukakubaliana 'Mambo flani flani' hata uchaguzi wa nani kati ya hao wa3 nikamwambia yupi atatufaa katika misheni zetu.
Mungu Mkubwa Wajameni: 2cut the story short ni kwamba sasa hivi ana watoto 4, wawili wangu na wawili wa Jamaa na maisha na Mapenzi yanaendelea vizuri sana, kila siku ni bora kuliko jana.
Hatumuombei Jamaa mabaya ila akidanja mimi ndiyo ntachukua Mwali wangu mapema sana maana sasahivi niko Njema Alhamdulillah.
Kwenye haya Maisha kilamtu ana Kipaumbele Chake.
Tuheshimu vipaumbele vya wengine.
Nowadays she's looking like this. How would I resist the feeling of waiting.[emoji8][emoji3531][emoji257]View attachment 2204873
Siku hizi Hadi wanawanyea mdomoni, we acha tuNyiee ndio balaa yaani binti miaka 27 bado unaenda kugegedwa na mbabu wa miaka 70
Mafanikio ni dhana pana sana, inategemeana mtu ana-define vipi mafanikio yake.Maendeleo ya mtu yanakuwa defined na jamii husika
Mf.ukiwa kwenye jamii ya wamasai utajiri au mafanikio ni kuwa na ng’ombe wengi
So umasaini utajiona umetimiza life goals ukiwa umepata ng’ombe wengi
Ukiwa mjini mafanikio ni kuwa na nyumba,gari ,biashara kazi
Kwahyo ili uweze kuishi comfortable na kwa amani kwenye jamii fulani lazima uwe na mafanikio yanayoendana na jamii husika
Tunachokosea ni kutaka kuwa na maendeleo,mafanikio ambayo hayahusiani na jamii husika
Na kwa jamii ya kiafrika-Tanzania kuolewa au kuoa ni moja ya mafanikio muhimu kwahyo usipooa au kuuolewa licha ya kuwa na mali au vitu vingine bado jamii itakuona umepungukiwa kitu kikubwa
Kila mtu anataka kuheshimika na huwezi kuheshimiwa kama huna mafanikio kamq jamii inavyoona
Wanawake msitake kuishi kama mpo ulaya kwa kutojali jamii husika inahitaji nn
Kiafrika-Tanzania kuolewa ni moja ya mafanikio
Mafanikio ni dhana pana sana, inategemeana mtu ana-define vipi mafanikio yake.
Mtu mwingine mafanikio kwake ni kuwa na madaraka ya kuweza kuwaongoza wengine, kwahiyo mtu huyu hata angalikuwa na pesa kiasi gani bado ataona hajafanikiwa.
Mtu mwingine mafanikio yake ni kuwa maarufu Kama akina Diamond, Obama nk, hata angekuwa na vitu vingine vingi bila ya kuwa maarufu ataona hajafanikiwa.
Na mafanikio mazuri ni yale ambayo mtu alijiwekea malengo yeye mwenyewe, na sio kufuata mitazamo ya jamii au watu wengine, lazima uwe na kipaumbele chako au dira yako inayokuongoza kufikia mafanikio yako.
Mafanikio kwa mlengo wa kuridhisha jamii fulani
Mafanikio yanareference yakeMafanikio ni dhana pana sana, inategemeana mtu ana-define vipi mafanikio yake.
Mtu mwingine mafanikio kwake ni kuwa na madaraka ya kuweza kuwaongoza wengine, kwahiyo mtu huyu hata angalikuwa na pesa kiasi gani bado ataona hajafanikiwa.
Mtu mwingine mafanikio yake ni kuwa maarufu Kama akina Diamond, Obama nk, hata angekuwa na vitu vingine vingi bila ya kuwa maarufu ataona hajafanikiwa.
Na mafanikio mazuri ni yale ambayo mtu alijiwekea malengo yeye mwenyewe, na sio kufuata mitazamo ya jamii au watu wengine, lazima uwe na kipaumbele chako au dira yako inayokuongoza kufikia mafanikio yako.
Mafanikio kwa mlengo wa kuridhisha jamii fulani yanaweza yasimpe mtu furaha ya kweli.
Nakazia!!Nimesema wanawake sio wa kuhurumia acha wapgike mpaka akili ziwakae sawa.
Heee!!!Hii habari ya kwamba wanawake ni wengi kuliko wanaume si kweli.
Mwaka 2020, takwimu zinaonesha kwamba Tanzania kwa kila wanawake 99.9 kulikuwa na wanaume 100. Statistically the same.
![]()
Tanzania: gender ratio of population 2000-2021 | Statista
Tanzania recorded 103 male births per 100 female births in 2021.www.statista.com
Sema dada sema. Ujue hii inaonyesha jinsi watu tuna darkness ilokithiri katika mioyo yetu. Tunafurahia kuanguka kwa mtu like seriously. Ok sawa alikudharau na shit happened lakini embu mtu ajichunguze...penye dharau ndo penye mafanikio makubwa na kupiga hatua.Nyie kweli bitterness inamuumiza zaidi aliyeibeba kuliko aliyebebewa. Imagine mtu uliachwa huko zamani, umeendelea na maisha yako, Mungu kakujaalia umepata mke; hadi unaanza kufuatilia yanayoendelea kwenye maisha ya ex: upo fulfilled/contented na maisha yako kweli? Mbona ni kama pamoja na vyote ulivyonayo bado huna furaha/ kuna kitu kinamiss na ndiyo huyo ex unayekaa kumfikiria badala ya kuwafikiria watoto wako na wanao?
Ok ex alikukimbia, sasa hivi amezalishwa na hajaolewa; kwako wewe binafsi inakuongezea nini? Kwamba it makes you a better person than her? Angekuwa ameolewa, usingekuwa a better person?
Seriously mume wa mtu unasikia ex wako kazalishwa eti unatafuta kumtega ili tu akionesha kukutamania upate furaha, ujione wewe ndiyo umeyapatia maisha.... Kweli uchungu unapunguza hata uwezo wa kufikiri.
Kuzalishwa ni mwisho wa maisha au ni ulemavu useme kwamba eeh sasa kapatikana?. Mbona mtoto ni baraka kubwa mnooo; married couples kibao wanahangaika kutafuta watoto. Nikute mume wangu anafanya huo utopolo, mbona ntamrudisha kwao akapumzike kwanza apate na akili[emoji16][emoji16][emoji16]
Tujifunze kusamehe, tusonge mbele kwa amani na maisha yetu. Otherwise tutabarikiwa wee ila hatuto-appreciate baraka zetu maana tupo busy kusubiri mabaya yawapate wale waliotuacha. Sad.
Na sura muhimu pia na yaliyomo yamo..? Msambwanda kiasi mixer no kitambi afu usiwe mfupi saana na uwe na hekima pia usiwe mnywa pombe wala muumini wa viwanja vya starehe. Pia usiwe chibonge uwe na mwili wa size ya kati sio bonge sio mwembambaBaba unaangalia sura tena😂😂 si mlisema kigezo ni tabia njema?
Vigezo vyote hivyo mkuu, huyu ni malaika kabisa siyo binadamu 😂😂Na sura muhimu pia na yaliyomo yamo..? Msambwanda kiasi mixer no kitambi afu usiwe mfupi saana na uwe na hekima pia usiwe mnywa pombe wala muumini wa viwanja vya starehe. Pia usiwe chibonge uwe na mwili wa size ya kati sio bonge sio mwembamba
Basi uwe na hekima mengine majaliwa🤣🤣🤣 au taqo hamna.?Vigezo vyote hivyo mkuu, huyu ni malaika kabisa siyo binadamu 😂😂
Kuna mmoja alinitema wakati tuko kidato cha 4. Sasa katika mishe zangu nikakutana nae mwaka jana nikamla kimasihara. Nikampa ukweli mie nimeoa Ila naona bado tu amekomaa na mimi.Huu ni ukweli mtupu. Japo ni mchungu kwao. Kuna pisi kale niliifukuzia sana pindi tunasoma chuo ikanikatalia kabisa. Nilitumia njia zote za ushawishi ikagonga mwamba. Nikaachana naye nikaendlea na mambo mengine. Na hata tulipomaliza chuo bado aligoma kipindi hicho Sina kazi.
Mungu si athuman nikapata kazi kwenye kampuni ya kichina baada ya mwaka mmoja wa kuhitimu. Mambo yakawa sawa. Akaja akapata taarifa baada ya miaka 4 alirud kwa speed 4G. Nikawamwambia nitakukula ila sitakuoa. Akakubali. Nikagundua huyu sio wife material. Na kipnd hicho Mungu akanisaidia nikapata wife material. Leo anaelekea 35 Hana kazi na bado hajaolewa.
Kila sku ananisumbua nizae nae hata mtoto mmoja tu. Nami naruka aisee. Make nikimzalisha na Hana kazi itakula kwangu. Kila siku anabaki kunilaumu tu.
Ushauri. Mnapokua mko umri wa Sokon tumie mda huo kupata wanaumme. Mnaweka vigezo ambavyo hata kwenu havipo. Unataka mwanaume mwenye gari ili hali babako Hana hata baiskel
Sina tako, sina sura , hekima nusu😂Basi uwe na hekima mengine majaliwa🤣🤣🤣 au taqo hamna.?
NkamuSina tako, sina sura , hekima nusu[emoji23]