Tatizo watu wanatumia hisia zaidi kuliko akili hili ndio tatizo kubwa unakutana na mwanamke upstairs yuko vizur lakini anampenda jamaa anajua kuwa atamkamua na kumuacha na anajua kabisa hilo halafu kuna mwamba anataka kumuoa anapiga chini offersAaa wapi. Ndoa zenyewe hizi ambazo nyingi zimeshakufa, talaka kila kukicha. Thamani ya mtu sio kuolewa , kuna waliooa au kuolewa na hawaheshimiki. Oa au kuolewa ukipata mwenza sahihi na sio kwa ajili ya kupata heshima.
Jibu swali
Ni kweli. Hivi umeshawahi kuona mtu anaitwa kwenye mikutano ya hadhi kwa sababu kaoa au kuolewa. Power and respect haijalishi hayo. Siku hizi mambo yamebadilika, ukiwa na hela na cheo heshima itakuwepo tu. Kuna watu wana ndoa zina 50 years lakini hata hatuwajui, lakini wenye hela, vyeo tunawajadili kila siku na wanaheshimika kwa michango yao kwa jamii. Na hata wengine hatujui kama wameoa au kuolewa.Tatizo watu wanatumia hisia zaidi kuliko akili hili ndio tatizo kubwa unakutana na mwanamke upstairs yuko vizur lakini anampenda jamaa anajua kuwa atamkamua na kumuacha na anajua kabisa hilo halafu kuna mwamba anataka kumuoa anapiga chini offers
Fafanua kidogo hapo mkuu. Mm nina 31 lkn bado midume naichezesha shere mpk inakoma. Na sina wazo la kuolewa mpk sasaYote yanasababishwa na umasikini.
Fafanua kidogo hapo mkuu. Mm nina 31 lkn bado midume naichezesha shere mpk inakoma. Na sina wazo la kuolewa mpk sasa
Kama vunjabei no pesa tu anaitwq mpaka kamati za ccmNi kweli. Hivi umeshawahi kuona mtu anaitwa kwenye mikutano ya hadhi kwa sababu kaoa au kuolewa. Power and respect haijalishi hayo. Siku hizi mambo yamebadilika, ukiwa na hela na cheo heshima itakuwepo tu. Kuna watu wana ndoa zina 50 years lakini hata hatuwajui, lakini wenye hela, vyeo tunawajadili kila siku na wanaheshimika kwa michango yao kwa jamii. Na hata wengine hatujui kama wameoa au kuolewa.
Maisha yanapaswa kubadilika. Sasa unataka wanawake waishi maisha sawa na babu/baba zao?Mnaweka vigezo ambavyo hata kwenu havipo. Unataka mwanaume mwenye gari ili hali babako Hana hata baiskel
Wewe unadalili zote za kua mchawi uzeeni utake usitakeFafanua kidogo hapo mkuu. Mm nina 31 lkn bado midume naichezesha shere mpk inakoma. Na sina wazo la kuolewa mpk sasa
Mwanamke anayejielewa anaplan future yake iweje na mumewe awe mtu wa type gani. Siyo kila anayekuja ili mradi ana uume basi akubaliwe kuwa mume.Mwanamke ukisha fika miaka 30 huna sababu ya kuolewa tena cz bahati nyingi zilikujia ukazikataa.. sasa tafuta kazi nyingine ya kufanya na sio ndoa..
Kivipi Kati wewe mwenyewe ushasema ni sexlessMaisha yanapaswa kubadilika. Sasa unataka wanawake waishi maisha sawa na babu/baba zao?
Ndiyo maana wanataka mtu atakayewapandisha hatua Fulani mbele zaidi.
Mm nina 31 lkn wanaume wanaruka na kukqnyagana wakinitafuta
Wenyewe wanasema Vunja Bei ndiyo anainvesti pale saiziHivi muheshimiwa DC ndo kakosa kabisa wa kumchukua?
Duh, poa poaWenyewe wanasema Vunja Bei ndiyo anainvesti pale saizi
Ni kweli kabisa, ila we kuanzia upo 20 mpaka unagonga 30 bado tu hujampata huyo mwanaume unaemtaka that means kuna tatizo kwenye plans zako. Haiwezekani wanaume wote waliokufata wawe hawafai ina maana wewe ndio mwenye tatizo! Cha ajabu utakuta wanaume wote uliowakataa walishaoa na wapo kwenye happy marriages sasa hapo utasema tatizo ni nini?Mwanamke anayejielewa anaplan future yake iweje na mumewe awe mtu wa type gani. Siyo kila anayekuja ili mradi ana uume basi akubaliwe kuwa mume.
Mkuu ukiwa ma cheo na heshima sio kuwa watakuheshimu hapana watakuwa wanafiki kwa sababu unauwezo wa kufanya kitu, yote kwa yote kwa tamaduni zetu ndoa ni jambo la heshima sana japo tunalichulia kwa wepesiNi kweli. Hivi umeshawahi kuona mtu anaitwa kwenye mikutano ya hadhi kwa sababu kaoa au kuolewa. Power and respect haijalishi hayo. Siku hizi mambo yamebadilika, ukiwa na hela na cheo heshima itakuwepo tu. Kuna watu wana ndoa zina 50 years lakini hata hatuwajui, lakini wenye hela, vyeo tunawajadili kila siku na wanaheshimika kwa michango yao kwa jamii. Na hata wengine hatujui kama wameoa au kuolewa.
Hiyo mbususuFafanua kidogo hapo mkuu. Mm nina 31 lkn bado midume naichezesha shere mpk inakoma. Na sina wazo la kuolewa mpk sasa