pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,296
- 6,692
Tatizo watu wanatumia hisia zaidi kuliko akili hili ndio tatizo kubwa unakutana na mwanamke upstairs yuko vizur lakini anampenda jamaa anajua kuwa atamkamua na kumuacha na anajua kabisa hilo halafu kuna mwamba anataka kumuoa anapiga chini offersAaa wapi. Ndoa zenyewe hizi ambazo nyingi zimeshakufa, talaka kila kukicha. Thamani ya mtu sio kuolewa , kuna waliooa au kuolewa na hawaheshimiki. Oa au kuolewa ukipata mwenza sahihi na sio kwa ajili ya kupata heshima.