Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Aaa wapi. Ndoa zenyewe hizi ambazo nyingi zimeshakufa, talaka kila kukicha. Thamani ya mtu sio kuolewa , kuna waliooa au kuolewa na hawaheshimiki. Oa au kuolewa ukipata mwenza sahihi na sio kwa ajili ya kupata heshima.
Tatizo watu wanatumia hisia zaidi kuliko akili hili ndio tatizo kubwa unakutana na mwanamke upstairs yuko vizur lakini anampenda jamaa anajua kuwa atamkamua na kumuacha na anajua kabisa hilo halafu kuna mwamba anataka kumuoa anapiga chini offers
 
Ni kweli. Hivi umeshawahi kuona mtu anaitwa kwenye mikutano ya hadhi kwa sababu kaoa au kuolewa. Power and respect haijalishi hayo. Siku hizi mambo yamebadilika, ukiwa na hela na cheo heshima itakuwepo tu. Kuna watu wana ndoa zina 50 years lakini hata hatuwajui, lakini wenye hela, vyeo tunawajadili kila siku na wanaheshimika kwa michango yao kwa jamii. Na hata wengine hatujui kama wameoa au kuolewa.
 
Kama vunjabei no pesa tu anaitwq mpaka kamati za ccm
 
Mnaweka vigezo ambavyo hata kwenu havipo. Unataka mwanaume mwenye gari ili hali babako Hana hata baiskel
Maisha yanapaswa kubadilika. Sasa unataka wanawake waishi maisha sawa na babu/baba zao?

Ndiyo maana wanataka mtu atakayewapandisha hatua Fulani mbele zaidi.

Mm nina 31 lkn wanaume wanaruka na kukqnyagana wakinitafuta
 
Fafanua kidogo hapo mkuu. Mm nina 31 lkn bado midume naichezesha shere mpk inakoma. Na sina wazo la kuolewa mpk sasa
Wewe unadalili zote za kua mchawi uzeeni utake usitake
 
Mwanamke ukisha fika miaka 30 huna sababu ya kuolewa tena cz bahati nyingi zilikujia ukazikataa.. sasa tafuta kazi nyingine ya kufanya na sio ndoa..
Mwanamke anayejielewa anaplan future yake iweje na mumewe awe mtu wa type gani. Siyo kila anayekuja ili mradi ana uume basi akubaliwe kuwa mume.
 
Maisha yanapaswa kubadilika. Sasa unataka wanawake waishi maisha sawa na babu/baba zao?

Ndiyo maana wanataka mtu atakayewapandisha hatua Fulani mbele zaidi.

Mm nina 31 lkn wanaume wanaruka na kukqnyagana wakinitafuta
Kivipi Kati wewe mwenyewe ushasema ni sexless
 
Hivi muheshimiwa DC ndo kakosa kabisa wa kumchukua?
 
Haya maisha changamoto,unayempenda yeye hakupendi ila baadaye anakuja kushtuka wewe ndiye ulikuwa sahihi kwake na ni too late........upishamove on kitambo.......
 
Mwanamke anayejielewa anaplan future yake iweje na mumewe awe mtu wa type gani. Siyo kila anayekuja ili mradi ana uume basi akubaliwe kuwa mume.
Ni kweli kabisa, ila we kuanzia upo 20 mpaka unagonga 30 bado tu hujampata huyo mwanaume unaemtaka that means kuna tatizo kwenye plans zako. Haiwezekani wanaume wote waliokufata wawe hawafai ina maana wewe ndio mwenye tatizo! Cha ajabu utakuta wanaume wote uliowakataa walishaoa na wapo kwenye happy marriages sasa hapo utasema tatizo ni nini?
 
Ni kweli. Hivi umeshawahi kuona mtu anaitwa kwenye mikutano ya hadhi kwa sababu kaoa au kuolewa. Power and respect haijalishi hayo. Siku hizi mambo yamebadilika, ukiwa na hela na cheo heshima itakuwepo tu. Kuna watu wana ndoa zina 50 years lakini hata hatuwajui, lakini wenye hela, vyeo tunawajadili kila siku na wanaheshimika kwa michango yao kwa jamii. Na hata wengine hatujui kama wameoa au kuolewa.
Mkuu ukiwa ma cheo na heshima sio kuwa watakuheshimu hapana watakuwa wanafiki kwa sababu unauwezo wa kufanya kitu, yote kwa yote kwa tamaduni zetu ndoa ni jambo la heshima sana japo tunalichulia kwa wepesi
 
Back
Top Bottom