Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Af mbona wanaume nyie hamjisemi, kuna wengine wanakaribia umri wa kustaafu na wako single na pengine hata mtoto wa kusingiziwa hana ila kutwa kutunanga wanawake jamani sio fair mjue
Ha ha sasa unatafuta vita et umri wa kustaafu 😁😁
 
Asante kwa taarifa nzuri...kumbe 35percent ni loose ball🤣🤣🤣🤣🤣
 
Miaka 30 mingi sana kwa mwanamke. Mwanamke akishafika miaka 27 tu amejichokea na mbaya zaidi ukute umri huo hajapata hata mwanaume aliyeonesha nia ya kumuoa ndo anapagwa zaidi.

Uanaume raha sana yaani age ya 30 hadi 45 huko bado unaonekana unalipa kabisa na unaweza kutafuna vibinti hata vya 18 years lakini ukaonekana ni size yako.
 
Wanawake wanaolewa mpaka 35. Mm nimeshuhudia. Wengine wanaachwa na watoto leo kesho posa mpya inapelekwa na ndoa mpya inafungwa. Maisha hayapo fixed, kila mwanamke ni unique kwa namna yake. Tusihitimishe, exceptional zipo tena za kutosha. Hao vilizi wa ndoa mnao kutana nao kila sehemu wanatakiwa kubadili fikra.

Binafsi nilikutana na mama watoto akiwa katika pilika za kukuza kipato na alikuwa mtu mzima tayari, above 30 na mm nikiwa na siasa zangu za maisha, leo tuna mitoto mikubwa na ndoa ipo imara hatuna tatizo.
 
Wanawake wanaolewa mpaka 35. Mm nimeshuhudia. Wengine wanaachwa na watoto leo kesho posa mpya inapelekwa na ndoa mpya inafungwa. Maisha hayapo fixed, kila mwanamke ni unique kwa namna yake. Tusihitimishe, exceptional zipo tena za kutosha.
Uyo mmoja ..kuna wale wengi wapo na miaka hiyo hawana mwelekeo hahaha
 
Tatizo bupa zao zinakuwa zimepigika sana. Pige hesabu on average anagegedwa na dyu dyu 3 kwa mwaka forom age 22 mpa hiyo 35 sii kashaonja migegedo 39
 
Tatizo bula zao zinakuwa zimepigika sana. Pige hesabu on average anagegedwa na dyu dyu 3 kwa mwaka forom age 22 mpa hiyo 35 sii kashaonja migegedo 39
Sawa. Ila kwa upande wangu haikuwa hivi. Hata leo ukinipa binti wa miaka 20 hatonipa alichonipa mke wangu akiwa na miaka 35. Niliridhika na mwili wake, nikaridhika na IQ yake, nikaridhika na uwezo wake wa kuwa mama na mke. Sasa hivi tushakuwa watu wazima sana na sijuti kufanya yale maamuzi miaka ya nyuma. Nikirudi nyuma, nitamtongoza yeye kwa mara nyingine tuzae tena.
 
Ni kweli ndoa ni nzuri lakini ni muhimu uingie kwenye ndoa na mtu sahihi. Usioe kwasababu umri umekwenda is kwasababu uliyekutana nae ni mtu sahihi kwako.
Ila tukumbuke hakuna binadamu alie kamili. Hivyo tukiwa wakosoaji tu kwa kila mtu tunaekua nae tutashindwa kuoa na kuolewa. Kwa maana hakuna asie na mapungufu mengine kuvumiliana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…