Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Ha ha sasa unatafuta vita et umri wa kustaafu 😁😁Af mbona wanaume nyie hamjisemi, kuna wengine wanakaribia umri wa kustaafu na wako single na pengine hata mtoto wa kusingiziwa hana ila kutwa kutunanga wanawake jamani sio fair mjue