Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Rafiki yangu alikwenda holiday Jamaica, alimpenda beach boy. Kabla likizo haijaisha aligundua beach boy alikua na wanawake wanne na anakinga pesa kote.
Sasa mtu ni beach boy..si unataka kusuzwa rungu tu akutoe nyege? Au anategemea nn au kwakuwa yuko jamaica? Ana bahati angekatwa ringi.
 
Ukiona mwanamke ana miaka 27 kachoka huyo ni wa kuonea huruma aisee, akifika 35 si atakuwa mzee. Ila wanawake wa Afrika tunajizeesha aisee, tunakula bila mpangilio, mazoezi ziro, vitambi, wowowo utaacha kuzeeka. Wengine tuko 42 lakini utajua bado wasichana. No tumbo, ziwa kama vile hujanyonyesha. Natural face , no artificial hair . Tunafanya kazi na wazungu, boss wetu yuko 65 lakini ukimuona tumbo flat na akivaa nguo utapenda. Kuja kwa wabongo sasa, yaani utadhani kila siku wajawazito loh.
 
I like this. A man has spoken...
 
Unakuta mwanamke anakula viporo kama mchimba visima. Na mkoa unaoongoza Kwa wanawake wenye bad lifestyle ni Dar

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nimeshuhudia mara 2, ya kwanza ana miaka 40 kaolewa tena ndoa ya kanisani Kwa mara ya kwanza, Hana mtoto ata 1.

Mara ya 2 ndoa ni mwaka huu mwez wa 10, mwanamke ana miaka 33 Ila ana mtoto mmoja. Haya mambo hayatabiriki bhn lkn kutwa kukaa na kuwasema wanawake kuwa walipoteza bahati

Je wale ambao wanavumiliwa Toka hawana kitu, mpaka anakuja kuwa na kitu, alafu akishainuka anakuja kuolewa mtu mwengine, yule aliyevumilia tabu na shida anaonekana mchafu ananuka, Hana thamani tena. Lkn hili wanaume hawaliongelei kbs. Unamsubiri Mtu 5 to 6 yrs unavumilia shda zote lkn siku akipata mafanikio unastukia anaolewa mwenzio, tumeshuhudia sn tu izi mambo lkn si wanaume wote Wana hizi tabia.

Wanawake wengine mnawasingizia tu kuwa eti alikuacha kisa huna kitu, je? Hao wote mlikuwa na Nia ya kuwaoa jamani?, Sio mwsho wa siku umepata mafanikio unamuona hajui kutumia unamtft yule mtu ambaye hajui ata izo pesa umetumia nguvu gani kuzitafuta.

Na elewa kuwa usitake Kila mwanamke akakuelewa maana Kila mtu ana aina ya mtu anayemtaka, maana ata wanaume Wana watu wanaowataka, mala namtaka mwenye kiuno mbinuko, mala namtaka mwenye wowowo, mala namtaka mwembamba na apo Kuna wengine mnawachezea tu. Anafikisha mpk 28 yrs anakusubr ww but end of the day unamkacha unaenda oa mwengine.
Hao wengine mnaumia kwasbb mliwapenda, laiti ungekuwa humpendi bs ata usingekuwa na muda wa kumkumbuka usingekuwa nao. Ni kweli Kuna wadada Wana majibu machafu ambayo si vzr kumjibu mtu km humpendi na Kuna wengine huwa wanapoteza bahati wenyewe Kwa kuwakataa hao wanaume wenye malengo nao kiukweli. Uwe unacho, uwe huna km amekukataa bs jua hakupendi na hukupangwa kuwa nae usifosi, lakini km umempata wa kupendana nae Dunia hii ni jambo la kushukuru Mungu, dumisheni penzi lenu tu lkn mambo ya kuzogoana kuhusu umri si vyema. Kila mtu ana wkt wake wa kuanzisha familia yake.
 
We mwenyewe texting game hujui, SMV imeshuka ila bado anapower over you[emoji16]
Hapo nilikuwa namchora tu mimi nshaoa huwa sina maneno mengi katika utongozaji,neno moja tu nataka nkuoe nkiona huna direction ya maisha najua hapa hachomoi hata iweje kisha napiga nasepa,kwa wengine miamala ndio inafanya kazi masuala ya ufundi katika text kwa wadangaji huwa sinaga kabisa..
 
Hongera Sana. Na Mungu aendelee kuwabariki
 
Ni kweli, Kila mtu ana upekee wake katika hii dunia. Lolote linatokea kwa yoyote.
 
Miaka 40[emoji848]

Hiyo mbususu

Imegonga mileage za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…