Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Niko poa mkuu wangu...vipi pande zako huko?Unfortunately nilikua among watu waliolala[emoji23][emoji23] umeamkaje mkuu wangu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko poa mkuu wangu...vipi pande zako huko?Unfortunately nilikua among watu waliolala[emoji23][emoji23] umeamkaje mkuu wangu ?
Bila woga wowote.Mkuu wewe, unataka kujivika bomu [emoji23]
😂 una roho ngumu eehBila woga wowote.
Huku kwema kabisa mkuu wangu wa kazi, how's weekend treating you?Niko poa mkuu wangu...vipi pande zako huko?
For sureYote yanasababishwa na umasikini.
😁😁😁🥱🤣🙌Miaka 30 mbali akishazaa tu halafu baba wa mtoto magumashi utamuonea huruma..wewe tafuta mwanamke yeyote aliyezaa kwa sasa na aliyetelekezwa na mtoto ambaye alikukataa/kupiga chini enzi hizo kwa sababu za kijinga kama kipato n.k mwambie nataka kuishi na wewe majibu utayapata..Hii pisi ilikuwa inaringa hatari ni design ya Wema Sepetu enzi hizo siku hizi anataman miracles ihappen!😂
View attachment 2203793
🥱🥱🥱🤣Nimekutana nao kwenye semina ya afya mmoja amesema kwa uchungu nanukuu "Wanawake tupo wengi kuliko wanaume, inatulazimu tukubali tu hata kama ni waume za watu maana mahitaji ya kimaumbile hatuwezi kushindana nayo, lakini tunaumizwa sana, huko tukienda inabidi tujikinge, kinga zenyewe zinatupa mateso maana sijui zinapitia wapi zinatuwasha ni majanga tu" alisikika mhanga akilalamika
Aiseee 😁😁🥱🤣Nimesema wanawake sio wa kuhurumia acha wapgike mpaka akili ziwakae sawa.
😁😁🥱Mkuu..fanya kitu kimoja naomba unpm namba zake...ili kukuondolea stress zake.
#MaendeleoHayanaChama
Weekend murua kabisa mkuuHuku kwema kabisa mkuu wangu wa kazi, how's weekend treating you?
Kuwa makini na expectations zako shauri yakoMwanamke anayejielewa anaplan future yake iweje na mumewe awe mtu wa type gani. Siyo kila anayekuja ili mradi ana uume basi akubaliwe kuwa mume.
Gari la babake au la babayako linakusaidiaje katika maisha yako/yake???Unataka mwanaume mwenye gari ili hali babako Hana hata baiskel
Sio demu wangu huyu wa kilimanjaro?Miaka 30 mbali akishazaa tu halafu baba wa mtoto magumashi utamuonea huruma..wewe tafuta mwanamke yeyote aliyezaa kwa sasa na aliyetelekezwa na mtoto ambaye alikukataa/kupiga chini enzi hizo kwa sababu za kijinga kama kipato n.k mwambie nataka kuishi na wewe majibu utayapata..Hii pisi ilikuwa inaringa hatari ni design ya Wema Sepetu enzi hizo siku hizi anataman miracles ihappen!😂
View attachment 2203793
Acha wivu ata wewe utakuwa ulikutana na hii hali.Pesa haiwezi kuwa mbadala wa ndoa vinginevyo hukumwelewa mtoa hoja.Ayo ya pesa ni maisha tofauti ndo maana mnaishia kubaka vijana wadogo ili kutuliza mizuka ya nyeg,,ePsychological set up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
Bado sanaWewe tayari?
Aaaaaaaah bwana bwana![emoji23][emoji23][emoji23]Tukiwaomba mbususu mtupe
Tukionyesha nia ya kuwawowa mkubali haraka
Msichague na kubagua
Naongelea wale ambao hawajafika bado sio wale waliokwishafikaHakuna cha nini kifanyike acha waonje joto la jiwe[emoji3][emoji3]
Umesema nn,?[emoji23][emoji23][emoji23] Sijakuelewa ngoja nikiona mwezi leo nitakuelewaShida kuu zaidi kwa Wanawake kitendo cha wao kuwa too much selective kina wakosesha Wanaume sahihi na badala yake wanaingia kwenye Wanaume wahuni wa mjini unakuta mwanamke unajua huyu mwanaume ni malaya kwasababu Eti ni tall, darkest na handsome basi na wewe unajipeleka kwa kuamini atabadilika ukishapigwa matukio na kuzalishwa na ukaachwa ndio akili inakuja ushauri wangu wapunguze kuwa selective Sana itawasaidia mbona kuna Wanaume wengi tu wanaojitambua
mawardat
Heaven Sent
QueenDeby
Lenie
Waache wapunguze hasira jaman[emoji23]Watu wengi wanakomenti na makisiriko binafsi[emoji23]
Kwa hiyo unaoa kwa kuangalia sura?[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Nataka nkuoe..? Upo tayari. Ila ukiwa sura tofauti na hiyo avatar yako majanga