Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Miaka 30 mbali akishazaa tu halafu baba wa mtoto magumashi utamuonea huruma..wewe tafuta mwanamke yeyote aliyezaa kwa sasa na aliyetelekezwa na mtoto ambaye alikukataa/kupiga chini enzi hizo kwa sababu za kijinga kama kipato n.k mwambie nataka kuishi na wewe majibu utayapata..Hii pisi ilikuwa inaringa hatari ni design ya Wema Sepetu enzi hizo siku hizi anataman miracles ihappen!😂

View attachment 2203793
😁😁😁🥱🤣🙌
 
Nimekutana nao kwenye semina ya afya mmoja amesema kwa uchungu nanukuu "Wanawake tupo wengi kuliko wanaume, inatulazimu tukubali tu hata kama ni waume za watu maana mahitaji ya kimaumbile hatuwezi kushindana nayo, lakini tunaumizwa sana, huko tukienda inabidi tujikinge, kinga zenyewe zinatupa mateso maana sijui zinapitia wapi zinatuwasha ni majanga tu" alisikika mhanga akilalamika
🥱🥱🥱🤣
 
Mwanamke anayejielewa anaplan future yake iweje na mumewe awe mtu wa type gani. Siyo kila anayekuja ili mradi ana uume basi akubaliwe kuwa mume.
Kuwa makini na expectations zako shauri yako
 
Miaka 30 mbali akishazaa tu halafu baba wa mtoto magumashi utamuonea huruma..wewe tafuta mwanamke yeyote aliyezaa kwa sasa na aliyetelekezwa na mtoto ambaye alikukataa/kupiga chini enzi hizo kwa sababu za kijinga kama kipato n.k mwambie nataka kuishi na wewe majibu utayapata..Hii pisi ilikuwa inaringa hatari ni design ya Wema Sepetu enzi hizo siku hizi anataman miracles ihappen!😂

View attachment 2203793
Sio demu wangu huyu wa kilimanjaro?
 
Psychological set up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
Acha wivu ata wewe utakuwa ulikutana na hii hali.Pesa haiwezi kuwa mbadala wa ndoa vinginevyo hukumwelewa mtoa hoja.Ayo ya pesa ni maisha tofauti ndo maana mnaishia kubaka vijana wadogo ili kutuliza mizuka ya nyeg,,e
 
Tukiwaomba mbususu mtupe

Tukionyesha nia ya kuwawowa mkubali haraka

Msichague na kubagua
Aaaaaaaah bwana bwana![emoji23][emoji23][emoji23]

Mkionesha nia ya kutuoa tutakubali ,mbususu MSAHAU.
 
Shida kuu zaidi kwa Wanawake kitendo cha wao kuwa too much selective kina wakosesha Wanaume sahihi na badala yake wanaingia kwenye Wanaume wahuni wa mjini unakuta mwanamke unajua huyu mwanaume ni malaya kwasababu Eti ni tall, darkest na handsome basi na wewe unajipeleka kwa kuamini atabadilika ukishapigwa matukio na kuzalishwa na ukaachwa ndio akili inakuja ushauri wangu wapunguze kuwa selective Sana itawasaidia mbona kuna Wanaume wengi tu wanaojitambua
mawardat
Heaven Sent
QueenDeby
Lenie
Umesema nn,?[emoji23][emoji23][emoji23] Sijakuelewa ngoja nikiona mwezi leo nitakuelewa
 
Back
Top Bottom