FORTUNE JR
Member
- Mar 20, 2021
- 83
- 512
80% ya wanawake waliotuzunguka Ni puto na Sindano kwenye mafanikio ya vijana wengi wa kiume. Imenichukua mda mrefu kuiva katika hili ila ndani ya mda mfupi ntakupa nondo zililivotukuka zitakazokujenga na kubadili maisha yako sana Let's Go....
Ilikuwa ni Asubuhi moja Murua, Nikiwa katika Maandalizi ya kwenda katika chumba cha mtihani wangu wa mwisho kabisa wa kukamilisha safari ya miaka 3 ya masomo yangu ya Chuo, ili nipate kutunukiwa rasmi Degree yangu Ya Accounting and Finance katika moja ya chuo kikubwa tu hapa nchini kwetu.
Nilijiandaa vyema huku nikimuomba Mungu sana ilihali nipate kumaliza vizuri lile nililokuwa nimelianza. Niliingia kwenye Ukumbi wa mtihani tayari kwa kusubiri mtihani ambao ungeanza punde, Mara alikuja Mrembo mmoja akiomba nimpishe nilipokaa, nikae kwa pembeni yake kidogo, nilielewa sababu ya yeye kunitoa pale, ilikuwa ni nyuma na ukutani hivyo palisapoti kucheza faulu, so nilimwacha akae then mimi nikasogea pembeni kidogo.
Baada yakunishukuru akaniuliza kijana una kifua? Nilidhani nimeelewa swali kumbe sikuelewa vizuri, hivyo nikaishia kujibu kifua kipo mama we Fanya yako(be free) nilijua tu kuna faulu anataka acheze.
Punde Mtihani ulianza, Yule Mrembo alivuta sketi yake hadi usawa wa kiuno yaani paja lote nje hadi chupi yake white naiona, Bi dada kajiandika paja zima, swala sio bidada kujiandika ila ni jinsi paja la yule mrembo lilivyo na mvuto, jeupee lina mnofu haswaa hakika kwa kijana yoyote lijali aliyekamilika lazima atetereke, nashidwa kukupa picha kamili ya hiki nachokwambia ila at least elewa ni paja hasa paja hasa ukizingatia liko njee lote hadi mitaa ya kiunoni.
Kufikia hapo nikawa nimeelewa vyema swali la awali la yule dada unakifua??. Kila nikijalibu ku concentrate kwenye mtihani lile paja linanijia kwenye fikra zangu halafu likisindikizwa na sauti "kula chuma iko😁" so naacha kufanya mtihani naendelea ku zoom uumbaji wa Mwenyezi Mungu.
Bidada ananiona navomkodolea macho ila yuko busy na yake huenda alijua na mimi mtihani umenipiga so na uhitaji na nondo zake kwaio anazidi kuvuta tu gauni juu zaidi asijue ananiharibia maisha mtoto wa mwanamke mwenzie.
Nime zoom lile paja adi nasikia sauti ya Msimamizi "Pens down, time is over" looh nakuja kushtuka nime attempt swali moja tu nalo kidogo tu. Wakuu ni hivi nili supp na sikuweza ku Graduate.
Kijana yoyote mwenye kiu ya mafanikio ya kufika mbali usiendekeza Wanawake hutoboi . Uzi tayari!!!!.