Wanawake Wana Akili Kuliko Wanaume? Hata kwenye Siasa na Uongozi, Wanawake Wameonyesha Uwezo Kuliko Wanaume

Kwa hiyo wewe unazidiwa akili na mkeo? mkuu ni vile nakuheshimu nilitaka nikupe tusi moja nadhani usingerudia kuingia humu
Mkuu Benja, Benjamini Netanyahu, asante kuniheshimu, tena sio tuu nazidiwa akili na wife, bali tumesoma darasa moja, alikuwa ananipita masomo yote!, tulipomaliza chuo, tukaajiriwa mimi RTD, yeye ITV, alikuwa ananizidi mshahara mara 5!, hata nyumba ninayokaa ni yake, gari ni lake!, hata Mkuu wa nyumba yetu ni yeye!, hivyo wanawake sio tuu wametuzidi akili, wametuzidi hata pesa!, mfano nanilii, si atakuwa analipwa kuliko mwenza wake!.
P
 
Nakushauri ufiche aibu kidogo
Kuna sisi wengine, ile siku tunazaliwa, tukakutana na bahati mbaya ya kukuta mgao wa aibu, umemalizika, hivyo tukazaliwa bila chembe ya aibu!. Mfano ikitokea unayapenda macho fulani, akatokea mtu ana macho hayo, unamvaa tuu na kumwambia bila aibu!. Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?

Mtu mwenye aibu hawezi kuuliza maswali magumu kama haya
View: https://youtu.be/Ta0URHvUlko?si=PcD_K4rmAxQWIKKp
P
 
Wanabodi,
nimekuja kujiridhisha kiukweli kabisa ukubali, ukatae, kumbe wanawake wana akili sana kutushinda sisi wanaume!, ila wengi walikuwa hawalijui hili kwasababu siku zote sisi wanaume tumekuwa tunawabania, tunawazibia na kuwakandamiza!.

Na hata huyu Mwanamke Numero Uno Tanzania, kiukweli alibaniwa sana na kama sio Mwenyeenzi Mungu kuingilia kati na kumuibua, kamwe tusingeutambua uwezo wake na akili zake!.

Hata kwenye medani za siasa na uongozi, kiukweli kabisa wanawake wameonyesha uwezo na kuwa na akili nyingi zaidi ya nanaume!, na akili kubwa kuliko wanaume ambao ni akili ndogo!.

Hata wale wanyama Nyumbu, kwenye Serengeti migration, ,je ulijua kumbe mnyama ambaye huwa anaongoza kuvuka mto ni jike?. Kama ulikuwa hujui sasa ndio ujue na usubirie kesho na kushuhudia wanawake wenye akili kubwa wakifanya vitu vikubwa!.

Nahitimisha hili swali, ni wangapi humu walikuwa wanajua wanawake wana akili na uwezo kuliko mwanaume?. Yaani hata Eva, kumbe alikuwa na akili kuliko Adamu na kiukweli ndio maana wakiamua kitu ni wameamua!. Na usikute sisi ambao ni dhaifu kwa jinsia ile ndio maana tunapelekwa pelekwa, kwa kifupi tunapelekeshwa!.

Tena sio tuu wanawake wana akili kuliko wanaume bali hata uwezo!, Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo na ...

Hata kwenye kazi Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?
Mungu ibariki Tanzania
Paskali.
Dk Nchimbi chonde chonde nakuomba ufanye Mama asigombee 2025, kuna wengi wenye uwezo zaidi ya Mama.Yeye anao uwezo lakini nadhani nchi ni kubwa mno kwake.
We Kima wee... Kimalingano, una maanisha nini kuhusu uwezo wa uongozi wa Rais Samia?. Unamaanisha ni asigombee 2025 kwasababu ni hana uwezo, au ni asigombee 2025 kwasababu ndani ya CCM kuna watu wanauwezo zaidi yake?.

Kwani CCM huwa inamteua mgombea mwenye uwezo zaidi au anayekubalika zaidi?. Kati ya the top 3 finalists wa awamu ya JK, Prof. Mwandosya na Dr. Salim Salim, nani alikuwa na uwezo mkubwa kati yao?.

Karibu nyuzi hizi kuhusu uwezo wa Rais Samia
- Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo na ...

P
 
Wanabodi,
Huku nikiisubiri kesho kwa hamu kushuhudia akili za wanawake kwenye kilele siku ya wanawake duniani hapo Machi 8, huku nikitafakari mwelekeo na mustakabali wa siasa zetu za hapa nyumbani Tanzania, nimekuja kujiridhisha kiukweli kabisa ukubali, ukatae, kumbe wanawake wana akili sana kutushinda sisi wanaume!, ila wengi walikuwa hawalijui hili kwasababu siku zote sisi wanaume tumekuwa tunawabania, tunawazibia na kuwakandamiza!.

Na hata huyu Mwanamke Numero Uno Tanzania, kiukweli alibaniwa sana na kama sio Mwenyeenzi Mungu kuingilia kati na kumuibua, kamwe tusingeutambua uwezo wake na akili zake!.

Hata kwenye medani za siasa na uongozi, kiukweli kabisa wanawake wameonyesha uwezo na kuwa na akili nyingi zaidi ya nanaume!, na akili kubwa kuliko wanaume ambao ni akili ndogo!.

Kesho tutashuhudia kundi fulani la wanawake 19 wenye akili kubwa, likiibuka kidedea dhidi ya kundi fulani kuubwa na watu fulani ambao huwa wanataniwa jina fulani la Utani!.

Hata wale wanyama Nyumbu, kwenye Serengeti migration, ,je ulijua kumbe mnyama ambaye huwa anaongoza kuvuka mto ni jike?. Kama ulikuwa hujui sasa ndio ujue na usubirie kesho na kushuhudia wanawake wenye akili kubwa wakifanya vitu vikubwa!.

Nahitimisha hili swali, ni wangapi humu walikuwa wanajua wanawake wana akili na uwezo kuliko mwanaume?. Yaani hata Eva, kumbe alikuwa na akili kuliko Adamu na kiukweli ndio maana wakiamua kitu ni wameamua!. Na usikute sisi ambao ni dhaifu kwa jinsia ile ndio maana tunapelekwa pelekwa, kwa kifupi tunapelekeshwa!.

Tena sio tuu wanawake wana akili kuliko wanaume bali hata uwezo!, Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo na ...

Hata kwenye kazi Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?

Baada ya kuujua ukweli huu, sasa ni mwendo wa heshima na adabu kwa wanawake wote. Siku ya wanawake duniani, hongera wanawake wote duniani.
Mungu ibariki Tanzania
Paskali.
Ndugu yangu paschal Mayalla
Sijasoma andiko.lako refuu

Ila kichwa cha habari tuu inatia tafasiri ya ulicho andika .
Napingana na wewe kwa asilimia miaa
 
Mkuu kibori nangai , jf ni ukumbi wa hoja na hoja mbadala, kama mtu ametoa hoja na kuisupport kwa hoja, ukipinga, pinga kwa ama kwa kupangua hoja au kwa hoja mbadala.

Pinga hoja kwa hoja na sio kupinga hoja kwa viroja!.

Pascal, wewe ni mwanasheria ila ninashindwa kukuelewa unapokataa kuikubali hukumu iliyoipa ushindi Chadema dhidi ya hao mashujaa wako 19! Pia huyo numéro un wako si wakwanza kushika madaraka hayo kwani wapo akina Mwami Thereza Ntali(sic) na kina Bhandaranaike(sic) Ghandi, Iron Lady wa Uingereza, Golda Meir(Israel) na wengine wengi sana sana, nashindwa kujua nini kimekupata kushindwa kuona na kutambua uwezo wa wanawake mpaka huyu numéro un wako ndipo umeuona uwezo wao! Hata hivyo naheshimu utambuzi wako wa hivi sasa kwani huenda ni maarufu kuliko hao wengine, nakupigia saluti.
 
Wanawake ni wazuri kwenye kulea familia. Mwanaume anabaki kuwa kichwa cha familia. Hata kwa Uongozi wa Nchi ni hivyo hivyo Mwanaume bado ni kichwa kama alivyo kichwa cha familia.
 
Wanabodi,
Huku nikiisubiri kesho kwa hamu kushuhudia akili za wanawake kwenye kilele siku ya wanawake duniani hapo Machi 8, huku nikitafakari mwelekeo na mustakabali wa siasa zetu za hapa nyumbani Tanzania, nimekuja kujiridhisha kiukweli kabisa ukubali, ukatae, kumbe wanawake wana akili sana kutushinda sisi wanaume!, ila wengi walikuwa hawalijui hili kwasababu siku zote sisi wanaume tumekuwa tunawabania, tunawazibia na kuwakandamiza!.

Na hata huyu Mwanamke Numero Uno Tanzania, kiukweli alibaniwa sana na kama sio Mwenyeenzi Mungu kuingilia kati na kumuibua, kamwe tusingeutambua uwezo wake na akili zake!.

Hata kwenye medani za siasa na uongozi, kiukweli kabisa wanawake wameonyesha uwezo na kuwa na akili nyingi zaidi ya nanaume!, na akili kubwa kuliko wanaume ambao ni akili ndogo!.

Kesho tutashuhudia kundi fulani la wanawake 19 wenye akili kubwa, likiibuka kidedea dhidi ya kundi fulani kuubwa na watu fulani ambao huwa wanataniwa jina fulani la Utani!.

Hata wale wanyama Nyumbu, kwenye Serengeti migration, ,je ulijua kumbe mnyama ambaye huwa anaongoza kuvuka mto ni jike?. Kama ulikuwa hujui sasa ndio ujue na usubirie kesho na kushuhudia wanawake wenye akili kubwa wakifanya vitu vikubwa!.

Nahitimisha hili swali, ni wangapi humu walikuwa wanajua wanawake wana akili na uwezo kuliko mwanaume?. Yaani hata Eva, kumbe alikuwa na akili kuliko Adamu na kiukweli ndio maana wakiamua kitu ni wameamua!. Na usikute sisi ambao ni dhaifu kwa jinsia ile ndio maana tunapelekwa pelekwa, kwa kifupi tunapelekeshwa!.

Tena sio tuu wanawake wana akili kuliko wanaume bali hata uwezo!, Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo na ...

Hata kwenye kazi Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?

Baada ya kuujua ukweli huu, sasa ni mwendo wa heshima na adabu kwa wanawake wote. Siku ya wanawake duniani, hongera wanawake wote duniani.
Mungu ibariki Tanzania
Paskali.
Wangekuwa na akili kusinge kuwa na haja ya women empowerment insitutions, wala kusinge kuwa na wacheza uchi kuonesha sehemu zao za siri, kwa mustakabari huo ,hawa viumbe ni wajinga tuu na hawana anakili na ni wa kuongozwa kwa mambo mengi sana na mwanaume
 
Pascal, wewe ni mwanasheria ila ninashindwa kukuelewa unapokataa kuikubali hukumu iliyoipa ushindi Chadema dhidi ya hao mashujaa wako 19!
Mkuu Hismastersvoice , with due respect, naheshimu sana uhuru wa mahakama lakini ni kwenye hukumu za haki tuu. Ili hukumu iwe ya haki, the dispensing of justice must follow the due process and the laid down procedures.

Ili kutoa hukumu ya haki ni lazima katiba sheria taratibu na kanuni za utoaji haki zifuatwe.

Chadema ina katiba yake yenye utaratibu wa kuendesha mashitaka na mamlaka za nidhamu na mamlaka za rufaa.

Kwa faida ya wengi utaratibu wa nidhamu kwa mujibu wa Katiba ya Chadema uko ibara ya 5:4:6 ya katiba ya Chadema
[*]Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo ziorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?.
[*]Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa dhidi ya hao 19?.
[*]Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia, jee hili lilifanyika?, nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, jee huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?.
[*]Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, jee hili lilifanyika?.
[*]Baada ya majibu ya hati ile ya mashitaka kurejeshwa, ndipo mamlaka ya nidhamu ingepaswa kuitisha kikao rasmi kwa mujibu wa katiba na kumwalika mtuhumiwa kwa barua ili kumpa nafasi ya kujieleza na kumsikiliza kabla ya kufikia maamuzi!. Jee kwenye huo uamuzi wa kuwatimua hao 19, je sheria, taratibu na kanuni zilifuatwa?!.
[*]Kanuni ya kwanza ya haki ni "no body is condemned unheard!". Yaani hakuna yoyote atakayehukumiwa bila kusikilizwa!. Watuhumiwa hao waliitwa kienyeji kienyeji wamegomea wito batili hivyo wamehukumiwa in "absentia" "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji
Hivyo kikao kile cha CC ya Chadema iliyokaa kuwahukumu ni Mahakama ya Gachacha a typical Kangaroo court!.

Mahakama inayobariki hukumu ya Kangaroo court utaiheshimu?. A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?

Mahakama zetu sometimes hazitoi hukumu za haki sikubaliani na hukumu hizi na hata hivyo nimeisha waandaa kisaikolojia kushindwa mahakamani The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!

Naona unaungana na Makonda kuhusu wananchi kuziamini na kuzitegemea mahakama.
I WISH YOU WERE OUR PRESIDENT.
 
Kulingana na kichwa cha habari, hakika Mama Samia suluhu Hassan anauwezo kuliko Marais wote , kaleta Maendeleo MAKUBWA
 
Akili ni jambo pana sana
sasa sijajua hao wanawake wana akili ya kisiasa.. au wamekuzidi wewe akili gani?
 
Back
Top Bottom