BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,568
- 1,923
Inawezekana.Itakuwa ya chini bila shaka.
Hivi kati ya me na ke yupi anatumia sana akili au HISIA?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana.Itakuwa ya chini bila shaka.
Wanabodi,
Huku nimekuja kujiridhisha kiukweli kabisa ukubali, ukatae, kumbe wanawake wana akili sana kutushinda sisi wanaume!, ila wengi walikuwa hawalijui hili kwasababu siku zote sisi wanaume tumekuwa tunawabania, tunawazibia na kuwakandamiza!.
Na hata huyu Mwanamke Numero Uno Tanzania, kiukweli alibaniwa sana na kama sio Mwenyeenzi Mungu kuingilia kati na kumuibua, kamwe tusingeutambua uwezo wake na akili zake!.
Hata kwenye medani za siasa na uongozi, kiukweli kabisa wanawake wameonyesha uwezo na kuwa na akili nyingi zaidi ya nanaume!, na akili kubwa kuliko wanaume ambao ni akili ndogo!.
Paskali.
It's not true, anauwezo mkubwa sana na ameisha prove kwa maneno na matendo.Maza uwezo ni mdogo sn
Mkuu sahivi una tenda Channel 10 wewe ni haki ako kusifia, mimi ni mfugaji sina cha kupoteza lazima niseme ukweliIt's not true, anauwezo mkubwa sana na ameisha prove kwa maneno na matendo.
Karibu...
P
Leo ni siku ya wanawake duniani, hizi ni salaam zangu za siku hii, Siku ya Wanawake Duniani: Wanawake Acheni Kubwetekea Kubebwa. Viti Maalumu ni Kubebwa, Je Tuvifute. Wanawake Mjibebe?, Au Mnapenda Uroda wa Kubebwa?.Wanabodi,
nikitafakari mwelekeo na mustakabali wa siasa zetu za hapa nyumbani Tanzania, nimekuja kujiridhisha kiukweli kabisa ukubali, ukatae, kumbe wanawake wana akili sana kutushinda sisi wanaume!, ila wengi walikuwa hawalijui hili kwasababu siku zote sisi wanaume tumekuwa tunawabania, tunawazibia na kuwakandamiza!.
Hata kwenye medani za siasa na uongozi, kiukweli kabisa wanawake wameonyesha uwezo na kuwa na akili nyingi zaidi ya nanaume!, na akili kubwa kuliko wanaume ambao ni akili ndogo!.
Hata wale wanyama Nyumbu, kwenye Serengeti migration, ,je ulijua kumbe mnyama ambaye huwa anaongoza kuvuka mto ni jike?. Kama ulikuwa hujui sasa ndio ujue na kushuhudia wanawake wenye akili kubwa wakifanya vitu vikubwa!.
Nahitimisha hili swali, ni wangapi humu walikuwa wanajua wanawake wana akili na uwezo kuliko mwanaume?. Yaani hata Eva, kumbe alikuwa na akili kuliko Adamu na kiukweli ndio maana wakiamua kitu ni wameamua!. Na usikute sisi ambao ni dhaifu kwa jinsia ile ndio maana tunapelekwa pelekwa, kwa kifupi tunapelekeshwa!.
Tena sio tuu wanawake wana akili kuliko wanaume bali hata uwezo!, Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo na ...
Hata kwenye kazi Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?
Baada ya kuujua ukweli huu, sasa ni mwendo wa heshima na adabu kwa wanawake wote. Siku ya wanawake duniani, hongera wanawake wote duniani.
Mungu ibariki Tanzania
Paskali.
photos.app.goo.gl
Leo ni siku ya wanawake duniani, hizi ni salaam zangu za siku hii, Siku ya Wanawake Duniani: Wanawake Acheni Kubwetekea Kubebwa. Viti Maalumu ni Kubebwa, Je Tuvifute. Wanawake Mjibebe?, Au Mnapenda Uroda wa Kubebwa?.
Nawatakia wanawake wote wa TiZii
Heri ya siku ya Wanawake Duniani.
Tena, by the way, naombeni mnipe pole, tumempoteza mmoja wa wanawake muhimu sana kwenye maisha yangu, tumempoteza mama mzaa Chema wangu, ameitwa kwa Muumba wake, akiwa Babati, tunampumzisha kwenye makao yake ya milele siku ya Jumatatu katika kijiji cha Gendi kwenye malalo ya ukoo wao.
![]()
New item by Pascal Mayalla
photos.app.goo.gl
View: https://youtu.be/oezcYCl60OI?si=MI6vvCGOptf82N8b
RIP Mama MKwe wangu.
Paskali