Wanawake Wana Akili Kuliko Wanaume? Hata kwenye Siasa na Uongozi, Wanawake Wameonyesha Uwezo Kuliko Wanaume

Maza uwezo ni mdogo sn
It's not true, anauwezo mkubwa sana na ameisha prove kwa maneno na matendo.
Karibu...
P
 
Leo ni siku ya wanawake duniani, hizi ni salaam zangu za siku hii, Siku ya Wanawake Duniani: Wanawake Acheni Kubwetekea Kubebwa. Viti Maalumu ni Kubebwa, Je Tuvifute. Wanawake Mjibebe?, Au Mnapenda Uroda wa Kubebwa?.

Nawatakia wanawake wote wa TiZii
Heri ya siku ya Wanawake Duniani.

Tena, by the way, naombeni mnipe pole, tumempoteza mmoja wa wanawake muhimu sana kwenye maisha yangu, tumempoteza mama mzaa Chema wangu, ameitwa kwa Muumba wake, akiwa Babati, tunampumzisha kwenye makao yake ya milele siku ya Jumatatu katika kijiji cha Gendi kwenye malalo ya ukoo wao.


View: https://youtu.be/oezcYCl60OI?si=MI6vvCGOptf82N8b
RIP Mama MKwe wangu.

Paskali
 
Pole sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…