Wanawake wanakusubiri kwenye finish line

Huu ni uongo
 
Ila pia ukifikanikiwa kumpata aliye tayari kuwa na wewe kuanzia kwenye mwanzo wa marathon yako, mheshimu sana. Kwa sababu ya ugumu mkubwa ulioko kati ya starting line na finishing line mara nyingi mwanamke akiambatana na wewe kwenye safari hii lazima afike kwenye finishing line akiwa kachoka, kasahau fashions n.k. Tukumbuke tulipotoka, tuwapende na kuwaheshimu sana wanawake wema waliosimama nasi tulipokuwa hatuna kitu.
 
Huu Uzi ni WA wanaume wa mbegu BUT Kuna vibishoo flani viwili vinaacha kifuatana inbox huko vina-chat usenge kumer mae kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…