Wanawake wanakusubiri kwenye finish line

Pamoja na kwamba mwanamke alikua na wewe kuanzia ukiwa starting line je alikua na mchango gano katika iyo safari? Hoja yako umeiweka katika namna ya kuonyesha kwamba katika mahusiano mwanamke anafanya favor kuwa na mwanaume.

Umasikini wa mwanamke sio tatizo la mwanaume, mahusiano ya kimapenzi sio favor ambayo mwanamke anamfanyia mwanaume isipokua ni hitaji la wote.

Watu wengi mwanamke akiwa masikini hamuoni kama umasikini wake ni tatizo isipokua mnafikiri tatizo ni yupo kwenye mahusiano na mwanaume asiekua na hela.

Mwanaume masikini, mwanamke masikini lakini watu wanafikiri kwamba mwanamke anamfanya favor kuwa na uyo mwanaume.

Ndio maana uko juu nikasema, sawa alikua nawe kuanzia starting line mpaka finish line lakini je alikua na output ipi katika iyo safari. Alikua na mchango wa kifedha, ushauri, network, connection, faraja n.k?
 
wengi wa wanawake wanahesabu kali sana wanapoamua kuolewa.
 
Single mother Kuna umri ukifika ni muhimu kuwa naye , Mimi nina single mother yupo smart sana kichwani linapokuja suala pesa,nimemwacha hapo dukani anapambana nijikisikia upwiru nakula na kanipa mtoto , wife akizingua nakimbia tu huko nanyosha goti kwa amani
 
You are too judgemental, labda una mapito magumu au umekuwa na mapito magumu.
 
This is maturity mindset
 
Jamaa yangu Andika kitabu kuwasanua Wanaume tutakuunga Mkono tena kuwe na mfumo wa series kabisa season 1 kuendelea
 
Dada wa watu anaweza anza na wewe kwenye start line, ukifika kwenye finish line unaenda chagua mwenye tako,

Ukitaka kutongoza jiulize, huyu dada km ningekua kwenye finish line, ningemchukua?

Just be fair.
Umemaliza kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ