Wanawake wanakuwa na backup ya mwanaume akilini mwao kama mahusiano au ndoa zao zitafeli

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
228
Reaction score
753
Backup hizo zinaweza kuwa wanaume waliowatongoza awali, wapenzi wao waliopita(ex), wafanyakazi mwenzake au gym buddies.

Tafiti za Onepoll zinaonesha Kati ya wanawake 1000 kutoka nchini uingereza nusu yao walio kwenye ndoa au mahusiano wamedhihirisha kuwa na mwanaume mwingine kama backup pindi mahusiano yao yasipofanya kazi.
 
Screenshot_20250728-110213_Facebook.jpg
 
Backup hizo zinaweza kuwa wanaume waliowatongoza awali, wapenzi wao waliopita(ex), wafanyakazi mwenzake au gym buddies.

Tafiti za Onepoll zinaonesha Kati ya wanawake 1000 kutoka nchini uingereza nusu yao walio kwenye ndoa au mahusiano wamedhihirisha kuwa na mwanaume mwingine kama backup pindi mahusiano yao yasipofanya kazi.
Narudia mwanamke akiwa mkeo, hakikisha hata smartphone hana, simu akitaka tumia anatumia ya mwanaume ( mumewe ) na hakikiasha hatoki ndani pasipo ridhaa yako, na akitoka mguu wako mguu wake.. ila hakikisha kila huduma anapata, na upendo qa dhati anapata.. nje ya hapo hawa watu ni problems
 
Yote hayo kisa K hapana aisee nina mishe nyingi za kufanya
 
Hivyo viumbe vikiamua kugawa hata uongozane nae kwenda wapi atatanulia mtu miguu hata ukiwepo fanya yako mkuu
Mwanamke anaongozwa na hisia, mwanamke anaanza kutombanaaa njez , hisia zake zinapo kata kwako. Lakini kama hisia za mwanamke bado zipo juu kwakoz, ngumu kumkuta anagawa inje.. kazi kubwa kwa Mez kuhakikisha manzi yako hisia zake zabaki kwakoz ukochemka hapa unayombewa asubuhi na mapemz
 
Upo mkoa gani kiongozi
 
Back
Top Bottom