Wanawake wanakuwa na backup ya mwanaume akilini mwao kama mahusiano au ndoa zao zitafeli

Wanawake wanakuwa na backup ya mwanaume akilini mwao kama mahusiano au ndoa zao zitafeli

Kama ni mwanaume na unashindwa ku manage mke au mpenzi wako. Ujue huyo sio wako huto muwezo, na mwanamke asiekubali fata unachotaka sio wakoz na mwanamke usiempenda na kuwa tayari kutoa chochote chako napo ni sanaa. Kuna mahala tunaona wanawake wanazingua au wasumbufu kwasababu na sie tunaacha akili na uanaume wetu nyuma
Uwezi ukammenage mwanamke maisha yako yote na akijua una mmenage hamna rangi utaiacha kuiona mkuu mwanamke ni ibilisi na ndio maana tuliambiwa tuishi nao kwa akili na kukushauri kama unammenage mkeo na anajua mkuu nakuakikishia utakuja kuleta mrejesho hapa nimeshaona mengi mkuu na naendelea kuyaona na kushauri jambo linguine usije ukamwamini mwanamke kwenye maisha yako wa kumwamini wa kwanza ni mungu wa pili mama yako aliekuzaa zaidi ya hapo ni batili
 
Baki na hayo mawazo yako. Na mie nibaki na mawazo yangu.
 
100% True na ndiyo maana kwenye simu ya Mwanamke lazima awe na wanaume hata watatu anaowa-FLIRT /entertain ,hao ndiyo wanakuwa kama BACKUP.
Sidhani mkuu, mwanamke akishaanza kufikiria backup ujue moyo ushaanza kuingia ganzi kwa matukio.
Mwanamke ambae bado ana upendo kwa mumeww hata mwanaume tu akimsalimia njiani anaona kichefu chefu ndo iwe kuflirt?
 
Backup hizo zinaweza kuwa wanaume waliowatongoza awali, wapenzi wao waliopita(ex), wafanyakazi mwenzake au gym buddies.

Tafiti za Onepoll zinaonesha Kati ya wanawake 1000 kutoka nchini uingereza nusu yao walio kwenye ndoa au mahusiano wamedhihirisha kuwa na mwanaume mwingine kama backup pindi mahusiano yao yasipofanya kazi.
Tairi spea. Hiyo ipo sana kwa bongo nadhani zaidi ya 80% watakuwa na tairi spea
 
Narudia mwanamke akiwa mkeo, hakikisha hata smartphone hana, simu akitaka tumia anatumia ya mwanaume ( mumewe ) na hakikiasha hatoki ndani pasipo ridhaa yako, na akitoka mguu wako mguu wake.. ila hakikisha kila huduma anapata, na upendo qa dhati anapata.. nje ya hapo hawa watu ni problems
Sasa HUYO mwanamke WA hivo utampata wapi mkuu? LABDA UENDE Iraq ukabebe MKE WA Miaka Tisa ataweza sharti la kuchangia SIMU na mengineyo mkuu. Hawa wakwetu nimaombi KILA SIKU nakufunga JUU.

Kwishaaaaa
 
Sasa HUYO mwanamke WA hivo utampata wapi mkuu? LABDA UENDE Iraq ukabebe MKE WA Miaka Tisa ataweza sharti la kuchangia SIMU na mengineyo mkuu. Hawa wakwetu nimaombi KILA SIKU nakufunga JUU.

Kwishaaaaa
mkuu, culture ina athari sana. Na mwanamke asie tayari kuku obey 100%, ujue sio ubavu wako kaa nao pembeni
 
Back
Top Bottom