Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Hao wanawake hawapo bana labda unaokutana nao wewe.!!Mimi dada zangu wote washaolewa kwa ndoa takatifu. Dada angu mdogo ndoa yake inaenda mwaka wa 18 sasa hivi.
Tukirudi kwenye mada. Kisasi cha mwanamke ni kutombwa na mwanaume ambae alikua around wakati yupo kwenye mahusiano. Anaweza kuwa anafahamiana na ex-boyfriend wake au walikua wanawasiliana na ex-boyfriend anapouliza huyu nani anapewa majibu ya hapa na pale.
Wanawake huwa wanafanya hivi kwa kufikiri wanawakomoa maex, lakini huwa yanakua maamuzi ya kukulupuka tu ambayo lengo linakua ni kisasi, na ndio maana haya mahusiano wanayoanzishaga immediately after break up huwa hayadumu
Nowadays wanawake tuko busy kutafuta pesa huo muda wa kugawa gawa tunaoutoa wapi?