Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
I am coming, hiyo rahisi sana...Come and set me free....hata condition hio inakushinda š
I am coming, hiyo rahisi sana...Come and set me free....hata condition hio inakushinda š
Blood foolHuyu ni nusu kaputi Intelligent businessman ndio maana yupo kataa ndoa.
š mkeka umetikiBlood fool
mwanamke hachungwi na ukitaka kufa mapema anza kumfatilia au kumchungaNarudia mwanamke akiwa mkeo, hakikisha hata smartphone hana, simu akitaka tumia anatumia ya mwanaume ( mumewe ) na hakikiasha hatoki ndani pasipo ridhaa yako, na akitoka mguu wako mguu wake.. ila hakikisha kila huduma anapata, na upendo qa dhati anapata.. nje ya hapo hawa watu ni problems
Naam si ndo wanaitaga " have a plan B"Back up ni muhimu sana kwenye kila kitu maishani.
Kwenye hili women are smart.
Sio unakutana na emotional man goigoi akiachwa na kimanzi chake anajinyonga!!
Nyie uzungu ndio unawaponza. Angalia baadhi ya jamii zimefanikiwa katika hili. Umagharibi umeharibu sana na mapokeo yakeBado hio haisaidii
mwanamke hachungwi na ukitaka kufa mapema anza kumfatilia au kumchunga
Hamn hao unawamini wewe walishakufaga enzi ya safina ya nuhu hawa wa sasa wa kidigitali wa iphone 6 mkuu ni shidaNyie uzungu ndio unawaponza. Angalia baadhi ya jamii zimefanikiwa katika hili. Umagharibi umeharibu sana na mapokeo yake
Ht wanaume ni hivyohivyoBackup hizo zinaweza kuwa wanaume waliowatongoza awali, wapenzi wao waliopita(ex), wafanyakazi mwenzake au gym buddies.
Tafiti za Onepoll zinaonesha Kati ya wanawake 1000 kutoka nchini uingereza nusu yao walio kwenye ndoa au mahusiano wamedhihirisha kuwa na mwanaume mwingine kama backup pindi mahusiano yao yasipofanya kazi.
Kama ni mwanaume na unashindwa ku manage mke au mpenzi wako. Ujue huyo sio wako huto muwezo, na mwanamke asiekubali fata unachotaka sio wakoz na mwanamke usiempenda na kuwa tayari kutoa chochote chako napo ni sanaa. Kuna mahala tunaona wanawake wanazingua au wasumbufu kwasababu na sie tunaacha akili na uanaume wetu nyumaHamn hao unawamini wewe walishakufaga enzi ya safina ya nuhu hawa wa sasa wa kidigitali wa iphone 6 mkuu ni shida
Vipi mama, Huwezi tumia simu mmoja na mpenzi wako ? Kuwa unatumia simu ya mume wako anapokuwepo nyumbani au naporudi kutoka kwenye majukumu ? Na hapo hapo anakupa upendo wote na na kila kitu, na kukupa hadhi zote na mama mwenye nyumba ?Ht wanaume ni hivyohivyo
Kutumia cm moja mbona inawezekana Wala sio issueVipi mama, Huwezi tumia simu mmoja na mpenzi wako ? Kuwa unatumia simu ya mume wako anapokuwepo nyumbani au naporudi kutoka kwenye majukumu ? Na hapo hapo anakupa upendo wote na na kila kitu, na kukupa hadhi zote na mama mwenye nyumba ?
Kama inawezekana kutumia simu moja mengine yanawawezekana. The rest mnaangalia namna ya ku handle mambo madogo madogo kama hayo. Wanaume tume fail tunarudia kosa lile lile la Adam kutupia lawama Eva kwa makosa yake Adam ya uwajibikaji kama protector kwa Eva! Vijana wanaishi kulalama, hawajui makosa ni yetu, mala kataa ndoaz haturudi kuangalia kiini cha tatizo kiko wapi. Sure mwanamke ukimpenda na aka feel upendo wa dhati na akauona wazi wazi na Me akaweza ku manage resources mbona chaos zinaisha au kuwa minizimize katika kiwango kikubwa sanaaKutumia cm moja mbona inawezekana Wala sio issue
Ila tu Kwa maisha ya SS naona Haina maana Kuna muda utahitaji kuwassiliana na ndugu na watu wengine pia, utaisubiri mumeo arudi kazini? Km Kuna dharula je?
So kwenye cm sioni km inaleta maana , btw wanawawake mbona ukitupatia tu Wala hatunaga mambo mengi, shida jamii inayoyaona šš
Mwenyezi mungu akubariki!After breakup
Backup up ya mwanamke ni wanaume wanaomtongoza. Backup ya mwanaume ni hela.
Kisasi cha mwanamke ni kutombwa. Kisasi cha mwanaume ni ku-upgrade maisha yake
Samahani⦠Umeolewa?Kutumia cm moja mbona inawezekana Wala sio issue
Ila tu Kwa maisha ya SS naona Haina maana Kuna muda utahitaji kuwassiliana na ndugu na watu wengine pia, utaisubiri mumeo arudi kazini? Km Kuna dharula je?
So kwenye cm sioni km inaleta maana , btw wanawawake mbona ukitupatia tu Wala hatunaga mambo mengi, shida jamii inayoyaona šš
Hakika wanaume wakijua na kurudi kwenye nafasi hizi kelele hutazisikia Kwa kiwango km kilichopo ssKama inawezekana kutumia simu moja mengine yanawawezekana. The rest mnaangalia namna ya ku handle mambo madogo madogo kama hayo. Wanaume tume fail tunarudia kosa lile lile la Adam kutupia lawama Eva kwa makosa yake Adam ya uwajibikaji kama protector kwa Eva! Vijana wanaishi kulalama, hawajui makosa ni yetu, mala kataa ndoaz haturudi kuangalia kiini cha tatizo kiko wapi. Sure mwanamke ukimpenda na aka feel upendo wa dhati na akauona wazi wazi na Me akaweza ku manage resources mbona chaos zinaisha au kuwa minizimize katika kiwango kikubwa sanaa
Hili lina ukweliBackup hizo zinaweza kuwa wanaume waliowatongoza awali, wapenzi wao waliopita(ex), wafanyakazi mwenzake au gym buddies.
Tafiti za Onepoll zinaonesha Kati ya wanawake 1000 kutoka nchini uingereza nusu yao walio kwenye ndoa au mahusiano wamedhihirisha kuwa na mwanaume mwingine kama backup pindi mahusiano yao yasipofanya kazi.
Inauma sanaBackup hizo zinaweza kuwa wanaume waliowatongoza awali, wapenzi wao waliopita(ex), wafanyakazi mwenzake au gym buddies.
Tafiti za Onepoll zinaonesha Kati ya wanawake 1000 kutoka nchini uingereza nusu yao walio kwenye ndoa au mahusiano wamedhihirisha kuwa na mwanaume mwingine kama backup pindi mahusiano yao yasipofanya kazi.