Kila nikikwambia uje uniibe unajizungusha tu 🤣Make me your next...
KuwekezaHizo pesa mnazotafuta zinaenda wapi wakuu maana wanawake always hawanaga pesa.
😹😹😹Wapo, hadi shangazi yangu alikuwa ya Back up na Baba mmoja mpaka sasahivi nalionaga ila limefulia linaitwa Mushi
Alikuja anakuja kumgonga shangazi yangu usiku wakifikiri tumelala lakini mimi nilikuwa namsikia shangazi akigugumia
Hehehehehe
Nakitunza nimpee mchwa kaburini..!! 😹Mweeeee kwa hiyo sasa mbususu ugawi kwa nini? Mbona unaenda kinyume na nature wewe
Huyu ni nusu kaputi Intelligent businessman ndio maana yupo kataa ndoa.Back up ni muhimu sana kwenye kila kitu maishani.
Kwenye hili women are smart.
Sio unakutana na emotional man goigoi akiachwa na kimanzi chake anajinyonga!!
Watu wana hatari😹😹😹
Kwahiyo ulikua unamsikilizia shangazi yako anavyopigwa miti?
Nafanya kweli this time...Kila nikikwambia uje uniibe unajizungusha tu 🤣
Mbona hasumbui huyo...Unavotumia jitihada na nguvu Sasa😁😁🤭!
Sina next target... Ila nina vision and mission...Mara kibao nakuulizaga hili unachukulia poa!! Who's your next target????🤭🤭🤭😁😁!
Khakhakhaaa.
Fanya basi tuone hayo makweli...mwaka unaisha huoNafanya kweli this time...
Legeza masharti nikubalie basi...Fanya basi tuone hayo makweli...mwaka unaisha huo
Hivi viumbe vinapenda pesa sanaKwasasa huwa nikiwaangalia wanawake nabaki nasikitika tu
Kila mwanamke anafikiria hela,yaan sahv kuingiliwa bila kupewa pesa hata kama ni mpenzi wake yaan hawaelew,wanataka ile asubuh mkiamka umpe hata 7000 lakin sio kuondoka mikono mitupu
Naona bora kununua tu,hawa wa kitaa hapana
Yaan si wasichana wadogo au wamama kila ukiwasikiliza wanaongelea kupewa hela na mwanaume,inasikitisha sana
Unataka kupenda unconditionally halafu hutaki upewe conditions! 🤣Legeza masharti nikubalie basi...
Condition zinachelewesha...Unataka kupenda unconditionally halafu hutaki upewe conditions! 🤣
Eeeh aisee, hadi leo nikimuona sometimes nacheka hlg sijui kama hata anakumbuka😹😹😹
Kwahiyo ulikua unamsikilizia shangazi yako anavyopigwa miti?
Tutaanza na conditions kwanza halafu mengine yanafuatia, km kweli unataka jitahidi basi...mwaka usiishe huuCondition zinachelewesha...
Kubali kwanza alafu nipe conditions...Tutaanza na conditions kwanza halafu mengine yanafuatia, km kweli unataka jitahidi basi...mwaka usiishe huu
Come and set me free....hata condition hio inakushinda 😝Kubali kwanza alafu nipe conditions...