ApolloShadow
JF-Expert Member
- Jul 19, 2025
- 925
- 1,962
Mwanaume ni kichwa lakini ujue na kiongozi.. Mwanamke akiwa hataki kufata uataratibu wako piga chiniWao ndio hawataki kukaa kwenye nafasi zao
Mwanaume ni kichwa lakini ujue na kiongozi.. Mwanamke akiwa hataki kufata uataratibu wako piga chiniWao ndio hawataki kukaa kwenye nafasi zao
Eleza ukweliSiyo kweli
Ukipiga chini ndio hivyo sasa ana backup kama kumi hivi yani ni kubip tu imooMwanaume ni kichwa lakini ujue na kiongozi.. Mwanamke akiwa hataki kufata uataratibu wako piga chini
Wewe huna backup! Hebu sema ukweliSiyo kweli
Backup yake, ufahamu haikuhusu na hayo ni maisha yake binafsi kachagua.. Unachotakiwa kutuliza ball upate ambae anaweza kukutii kwa kila jamboUkipiga chini ndio hivyo sasa ana backup kama kumi hivi yani ni kubip tu imoo
Nitafutie waifu material wa kipemba mkuu nasikia ni watiifu sanaBackup yake, ufahamu haikuhusu na hayo ni maisha yake binafsi kachagua.. Unachotakiwa kutuliza ball upate ambae anaweza kukutii kwa kila jambo
Haifikii backup ya mwanaume, ukiona mwanamke anayo backup jua alishtukia mumewe/mpenziwe kuwa na wanawake wengine na mpaka watoto hukoo kwinginekeo, acha tuendelee kufaidi Dunia yenye multiple Kila sektaBackup hizo zinaweza kuwa wanaume waliowatongoza awali, wapenzi wao waliopita(ex), wafanyakazi mwenzake au gym buddies.
Tafiti za Onepoll zinaonesha Kati ya wanawake 1000 kutoka nchini uingereza nusu yao walio kwenye ndoa au mahusiano wamedhihirisha kuwa na mwanaume mwingine kama backup pindi mahusiano yao yasipofanya kazi.
Narudia mwanamke akiwa mkeo, hakikisha hata smartphone hana, simu akitaka tumia anatumia ya mwanaume ( mumewe ) na hakikiasha hatoki ndani pasipo ridhaa yako, na akitoka mguu wako mguu wake.. ila hakikisha kila huduma anapata, na upendo qa dhati anapata.. nje ya hapo hawa watu ni problems
Sina nikiachana na mtu najipa likizo kwanza kabla ya kuanza upyaWewe huna backup! Hebu sema ukweli
Wakati wa kuanza upya huwa unatafuta namba kwenye note book yako uliyoihifadhi miaka kadhaa iliyopita au vipiSina nikiachana na mtu najipa likizo kwanza kabla ya kuanza upya
Hapana huwa sifanyi hivyo maex wangu wote sina namba zaoWakati wa kuanza upya huwa unatafuta namba kwenye note book yako uliyoihifadhi miaka kadhaa iliyopita au vipi
Ukiachana na ex kuna mwamba alikutongoza akakuachia na namba lakini hukumpaga umakini na ukampotezea ila namba hukufuta siku mkizinguana na uliyenae ndio wamkumbuka na kumcheki fasta kwenda kupoza moyoHapana huwa sifanyi hivyo maex wangu wote sina namba zao
Sina hizo mambo mimiUkiachana na ex kuna mwamba alikutongoza akakuachia na namba lakini hukumpaga umakini na ukampotezea ila namba hukufuta siku mkizinguana na uliyenae ndio wamkumbuka na kumcheki fasta kwenda kupoza moyo
Hebu fungua pm nione kama kweliSina hizo mambo mimi
Naona uko na mimi sako kwa bako🤣🤣Hebu fungua pm nione kama kweli
Afe kipa afe beki mbususu lazima iliwe😅😅😅😅Naona uko na mimi sako kwa bako🤣🤣
Loh! Endelea kuotaAfe kipa afe beki mbususu lazima iliwe😅😅😅😅
Najuaje naweza kuwa backup kwa ajili ya matumizi ya baadaeLoh! Endelea kuota