Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Yani ni anagusa tu imoo
Narudia mwanamke akiwa mkeo, hakikisha hata smartphone hana, simu akitaka tumia anatumia ya mwanaume ( mumewe ) na hakikiasha hatoki ndani pasipo ridhaa yako, na akitoka mguu wako mguu wake.. ila hakikisha kila huduma anapata, na upendo qa dhati anapata.. nje ya hapo hawa watu ni problemsBackup hizo zinaweza kuwa wanaume waliowatongoza awali, wapenzi wao waliopita(ex), wafanyakazi mwenzake au gym buddies.
Tafiti za Onepoll zinaonesha Kati ya wanawake 1000 kutoka nchini uingereza nusu yao walio kwenye ndoa au mahusiano wamedhihirisha kuwa na mwanaume mwingine kama backup pindi mahusiano yao yasipofanya kazi.
Wanaume wanapenda, wanamke hawapendi. Ndio maana wao wana backup, hawaoni athari yoyoteBack up ni muhimu sana kwenye kila kitu maishani.
Kwenye hili women are smart.
Sio unakutana na emotional man goigoi akiachwa na kimanzi chake anajinyonga!!
Yote hayo kisa K hapana aisee nina mishe nyingi za kufanyaNarudia mwanamke akiwa mkeo, hakikisha hata smartphone hana, simu akitaka tumia anatumia ya mwanaume ( mumewe ) na hakikiasha hatoki ndani pasipo ridhaa yako, na akitoka mguu wako mguu wake.. ila hakikisha kila huduma anapata, na upendo qa dhati anapata.. nje ya hapo hawa watu ni problems
Mwanamke ni zaidi ya K mkuu..Yote hayo kisa K hapana aisee nina mishe nyingi za kufanya
Hivyo viumbe vikiamua kugawa hata uongozane nae kwenda wapi atatanulia mtu miguu hata ukiwepo fanya yako mkuuMwanamke ni zaidi ya K mkuu..
Mwanamke anaongozwa na hisia, mwanamke anaanza kutombanaaa njez , hisia zake zinapo kata kwako. Lakini kama hisia za mwanamke bado zipo juu kwakoz, ngumu kumkuta anagawa inje.. kazi kubwa kwa Mez kuhakikisha manzi yako hisia zake zabaki kwakoz ukochemka hapa unayombewa asubuhi na mapemzHivyo viumbe vikiamua kugawa hata uongozane nae kwenda wapi atatanulia mtu miguu hata ukiwepo fanya yako mkuu
Upo mkoa gani kiongoziMwanamke anaongozwa na hisia, mwanamke anaanza kutombanaaa njez , hisia zake zinapo kata kwako. Lakini kama hisia za mwanamke bado zipo juu kwakoz, ngumu kumkuta anagawa inje.. kazi kubwa kwa Mez kuhakikisha manzi yako hisia zake zabaki kwakoz ukochemka hapa unayombewa asubuhi na mapemz
Nipo nje ya Tanzania, na nikiwa Tanzania nakuwa PembaUpo mkoa gani kiongozi
Basi upo sahihi pemba huko hakuna wadangaji nahisi hawa wanawake siku hizi hawana cha hisia wala nini akimwagiwa hela utelezi unakuwa mwingi hizo habari za hisia unazijua weweNipo nje ya Tanzania, na nikiwa Tanzania nakuwa Pemba
Huko Tanzania bara, wanawake mmewahribu nyie wanaume, kwa kushindwa kakaa vizuri kwenye nafasi zenuBasi upo sahihi pemba huko hakuna wadangaji nahisi hawa wanawake siku hizi hawana cha hisia wala nini akimwagiwa hela utelezi unakuwa mwingi hizo habari za hisia unazijua wewe
Wao ndio hawataki kukaa kwenye nafasi zaoHuko Tanzania bara, wanawake mmewahribu nyie wanaume, kwa kushindwa kakaa vizuri kwenye nafasi zenu