Wanawake wanalalamika wanaume wa siku hizi hawafai, lakini wanawalea watoto wao kwa mtindo mbovu zaidi. Hawatafaa kwa lolote.

Binafsi nimelelewa na Bi Mkubwa, baada ya Mzee kufariki nikiwa mdogo

Labda Kwa kuwa bi Mkubwa alishakubaliana na hali ya kumpoteza mumewe, kwahiyo alikuwa ana act Baba yeye Mama yeye.

Kwahiyo nimelelewa Kwa kufundishwa kazi zote za kiume na kike nyumbani.

Nimejua kupika chakula nikiwa na 9yrs, kufua, kuosha Vyombo, kudeki ndani, kukata Kuni Kwa wale tulioishi Vijijini wanajua hilo.

Kulima, kufyatua matofali na kupanga tanuli kwaajili ya Kuchoma.

Nimejenga ghetto langu la Chumba kimoja na sebule cha udongo nikiwa na 16 yrs, nyasi ndiyo Bati za kuezekea

Nafikiri Wazazi wa kileo tupunguze Usasa, tunawaharibu watoto wetu.

Haiwezekani kwasababu ya kipato basi watoto wetu hata kufanya kazi basically tu hata kufua Boksa zao hawawezi 🙌

Lingine kama inawezekana, tusiruhusu watoto wetu kulelewa na Mama zao pekee, labda itokee tumelala Mauti
 
You were raised by Great Woman you turn out into Strong Man.

Na hivyo ndivyo onapswa kuwa.

Hata ukutane na ghali gani kwenye maisha huwezi teteleka iwe mapenzi au uchumi
 
Muda mwingi unakuwa haupo na saa nyingine umesafiri mbali for quite number of months
Jilaumu wewe kwa kuwaachia wengine jukumu lako. Kisaikolojia, mtoto wa kiume kuanzia umri wa miaka 6+ anajifunza kuwa mwanaume kutoka kwa baba yake. If yo busy sana, opt kutokuzaa kuliko kuja kutoa lawama kwa watu wengine kwa kushindwa kutimiza majukumu yako. Unless umekufa.
 
Jilaumu wewe kwa kuwaachia wengine jukumu lako. Kisaikolojia, mtoto wa kiume kuanzia umri wa miaka 6+ anajifunza kuwa mwanaume kutoka kwa baba yake. If yo busy sana, opt kutokuzaa kuliko kuja kutoa lawama kwa watu wengine kwa kushindwa kutimiza majukumu yako.
Dada Atoto si ndio maana Nyumba tunakuwa wawili, mmoja akitoka mwingine anabaki anaendesha usukani
 
Hakikisha upo kwenye maisha ya mtoto wako. Usimuachie mama pekee, it takes a village to raise a child. Huo muda unaoupata hakikisha unamfundisha mtoto wako wa kiume kuwa mwanaume. Usiwe mtu wa lawama "mama yake this, mama yake that, wakati ulikuwa na nafasi ya kujaza pale kwa mama palipopwaya. If you didn't, basi you are to blame.
 
Sawa
 
Duh mimi mwanangu wa kiume na wa kike wote nawa fundisha kuwa wa kiume dunia ni uwanja wa vita🤔🤔
 
You were raised by Great Woman you turn out into Strong Man.

Na hivyo ndivyo onapswa kuwa.

Hata ukutane na ghali gani kwenye maisha huwezi teteleka iwe mapenzi au uchumi
Kwa kweli namshukuru Mungu Kwa hilo, bahati mbaya naye ameondoka pasipo kuonja hata shilingi 10 yangu 🥲

Kupitia mafunzo yale, weekend watoto wanaonja mapishi ya Baba yao, maana huwa najitahidi kuwapikia Kila nipatapo nafasi hasa nyakati za weekend.

All in all, Kuna mafunzo miaka ya zamani tulipokuwa Vijana tuliyapata ambayo Kwa sehemu kubwa yalifanya watoto wa kiume tutambue Thamani yetu ya Uanamme wetu ikiwemo Mafunzo ya Jando

Siku hizi ukiangalia Vijana wetu tunawatahiri hospitali wakiwa wadogo, plus kukosa hayo mafunzo imepelekea kutotambua Thamani ya Uanamme wao

Ndiyo maana wanaona kawaida kupapaswa makalio na wao kutoa ushirikiano

Damn 🙌
 
Hahaha...Mungu amekupa nafasi kile ulichopaswa kumfanyia Mama yako basi ikielekeze kwa uzao wako
 
Back
Top Bottom