Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Wewe ulikuwep mkuuDuuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulikuwep mkuuDuuh
Hakika Mkuu, lazima kuwahudumia kadri niwezavyo 🙏Hahaha...Mungu amekupa nafasi kile ulichopaswa kumfanyia Mama yako basi ikielekeze kwa uzao wako
🤣🤣🤣 au sio!!Duh mimi mwanangu wa kiume na wa kike wote nawa fundisha kuwa wa kiume dunia ni uwanja wa vita🤔🤔
Mwanao wa kike usipo mfundisha kuwa wa kiume dunia ya sasa atagombewa kama mpira wa kona.No power balance?😅😅
Lazima asimame kideteMwanao wa kike usipo mfundisha kuwa wa kiume dunia ya sasa atagombewa kama mpira wa kona.
Tumelima sana tulivyokuwa wadogo hadi sekondari. Jinsi unavyokua unachagua mwenyewe uishi vipi lakini unakuwa umepitia kazi nyingi, maisha ya kawaida hayatakushinda.Sasa unalimaje na wee ni mtoto wa kike?
Ah safi....Tumelima sana tulivyokuwa wadogo hadi sekondari. Jinsi unavyokua unachagua mwenyewe uishi vipi lakini unakuwa umepitia kazi nyingi, maisha ya kawaida hayatakushinda.
Mwanamke yeyote aliyefundishwa kazi utotoni huwezi kumkuta anadangaTumelima sana tulivyokuwa wadogo hadi sekondari. Jinsi unavyokua unachagua mwenyewe uishi vipi lakini unakuwa umepitia kazi nyingi, maisha ya kawaida hayatakushinda.
🤣🤣🤣Mwanamke yeyote aliyefundishwa kazi utotoni huwezi kumkuta anadanga
Mfanya kazi ataendelea kupambana na hali hawezi kujiuza🤣🤣🤣
havina uhusiano hivyo vitu bana
Kwa hiyo we unadanga!.......🤣🤣🤣
havina uhusiano hivyo vitu bana
Na wewe ndo danga languKwa hiyo we unadanga!.......
Hiyo ni fursa mkuu ngoja nikachangamkeKule jukwaa la siasa sijui mtoto wa kinana anataka kuolewa sijui
😁😂😆😅 Nilikuwa nataka tu nijue kama bado unanipenda baada ya kupotezana kwa siku kadhaa.Na wewe ndo danga langu
Danga anapendewa pesa tu😁😂😆😅 Nilikuwa nataka tu nijue kama bado unanipenda baada ya kupotezana kwa siku kadhaa.
Come on!
Mbona wakati wa kulichakata miguno ilikuwa ya kutosha, au ndo kuzuga.Danga anapendewa pesa tu
Watch out unaibiwa🤣Mbona wakati wa kulichakata miguno ilikuwa ya kutosha, au ndo kuzuga.
Ngoja nikupachike mtoto ili uteseke japo kidogoWatch out unaibiwa🤣
WoiNgoja nikupachike mtoto ili uteseke japo kidogo
Kuwa makini mkuuHiyo ni fursa mkuu ngoja nikachangamke