Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Nani anapika?Mama yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anapika?Mama yao
Mama yaoNani anapika?
Nani anafanya usafi wa nyumba?Mama yao
Mawazo ya hivyo yanawafanya vijana wa kiume wawe tegemezi kwa wanawake, hakuna faida na haimake sense.Mtoto wakiume akaoshe vyombo !!?? Ah hapana hiyo kazi ya mama yake au dada zake
Mama yangu Mimi alifaa zaidi awe kwenye kambi moja ya Jeshi na awe na cheo cha umeja jenero yaan acha nisiseme sana mnaishi nyumbani ila km mpo kwenye kambi ya jeshi haya mambo ya kupeleka watu jeshini halafu hamuwapi kazi mnawaharibuSawa kwa hiyo atakapoenda Porini kulima kutafuta maokoto ataondoka na dada zake?
Nadhani mkuu unajoke for pleasure!Sasa unalimaje na wee ni mtoto wa kike?
Kwako wewe ni jokes kwangu mie mtoto wa kike ni kazi za ndani ya nyumba. Kulima kuwinda kuweka food on the table ni kazi za kiume hizoNadhani mkuu unajoke for pleasure!
Sasa sii umeona wewe mwenyewe hapo mwisho umeshajijibu.Mawazo ya hivyo yanawafanya vijana wa kiume wawe tegemezi kwa wanawake, hakuna faida na haimake sense.
Kazi zote za nyumbani mvulana na msichana anatakiwa azijue na kuzifanya.
Elewa kuwa, kuna siku mvulana ataishi peke yake bila mama wala dada, maisha atayaendeshaje bila kujua kufanya usafi binafsi na wa mazingira, hajui kupika wala kuosha vyombo!
Wafundisheni watoto wenu kufanya kazi na kuzimaster.
Siku moja nilikutana na kituko cha msichana over 20 yrs old hajui kupika!
Nilijiuliza mwenyewe maswali bila kumuuliza, hadi nilimuogopa na mapenzi yakaishia hapo, kwani nilimuona kama ni mzigo usiobebeka.
Yaani unataka mtoto wakiume abonoke apige deki??! Are u ok my frend?Nani anafanya usafi wa nyumba?
Mh!Sasa sii umeona wewe mwenyewe hapo mwisho umeshajijibu.
Sasa wee sii unajua kupika why hukuingia upike au umfundishe kupika?
Hiyo ninkazi ya mwanamke bwana.
Wee kidume ni kusaka ndalama uweke food on the table.
Kuishi mwenyewe zio kisingizio. Mama ntilie wamejaa kibao mitaani huku sii unanda kula hapo tuu. Uzuri kuna ubwabwa wa buku hadi wa 5k ni wewe tuu na oesa yako
Mtoto wa kiume anayeishi Dar es Salaam anatakiwa afanye kazi gani nyumbani?Yaani unataka mtoto wakiume abonoke apige deki??! Are u ok my frend?
Akachote maji kwenye madumuMtoto wa kiume anayeishi Dar es Salaam anatakiwa afanye kazi gani nyumbani?
Sasa tunawaleaje kama mayai hapo?Mh!
Kwa hiyo tusiwafundishe watoto kujitegemea?
Kuwalea watoto kama mayai hatuwajengi, tunawapoteza.
Kifupi fundisha watoto kazi bila kujali jinsi zao, watakuja kujichenjua wenyewe baadaye.Sasa tunawaleaje kama mayai hapo?
Its just distribution on duties kulingana na jinsia nothing about kuwalea kimayai.
Mfoto wangu wakiume siwezi mpigisha deka wala kubonoka apulizie mka au akae anapepeta mchele. Kazi za kimama hizo.Kifupi fundisha watoto kazi bila kujali jinsi zao, watakuja kujichenjua wenyewe baadaye.
Hizo manual works lazma mwanaume afanye pia hakuna dhambi akifanya hiz mnazoita za kimama na kidada...kina junior hamtaelewa hiliSasa kutenganisha kazi za kiume na za kike inaletaje ushoga wewe au wee unataka kuongea tuu kuhusu ushoga?
Haya mbona hatukuona wanawake wakiokoa pale kariakooo? Hizo ndio kazi za kiume mwanawane.
Au wee unataka bonoka unapuliza mkaa ukolee🤣🤣🤣