Wanawake wanalalamika wanaume wa siku hizi hawafai, lakini wanawalea watoto wao kwa mtindo mbovu zaidi. Hawatafaa kwa lolote.

Mtoto wakiume akaoshe vyombo !!?? Ah hapana hiyo kazi ya mama yake au dada zake
Mawazo ya hivyo yanawafanya vijana wa kiume wawe tegemezi kwa wanawake, hakuna faida na haimake sense.

Kazi zote za nyumbani mvulana na msichana anatakiwa azijue na kuzifanya.

Elewa kuwa, kuna siku mvulana ataishi peke yake bila mama wala dada, maisha atayaendeshaje bila kujua kufanya usafi binafsi na wa mazingira, hajui kupika wala kuosha vyombo!

Wafundisheni watoto wenu kufanya kazi na kuzimaster.

Siku moja nilikutana na kituko cha msichana over 20 yrs old hajui kupika!

Nilijiuliza mwenyewe maswali bila kumuuliza, hadi nilimuogopa na mapenzi yakaishia hapo, kwani nilimuona kama ni mzigo usiobebeka.
 
Sawa kwa hiyo atakapoenda Porini kulima kutafuta maokoto ataondoka na dada zake?
Mama yangu Mimi alifaa zaidi awe kwenye kambi moja ya Jeshi na awe na cheo cha umeja jenero yaan acha nisiseme sana mnaishi nyumbani ila km mpo kwenye kambi ya jeshi haya mambo ya kupeleka watu jeshini halafu hamuwapi kazi mnawaharibu
 
Mawazo ya hivyo yanawafanya vijana wa kiume wawe tegemezi kwa wanawake, hakuna faida na haimake sense.

Kazi zote za nyumbani mvulana na msichana anatakiwa azijue na kuzifanya.

Elewa kuwa, kuna siku mvulana ataishi peke yake bila mama wala dada, maisha atayaendeshaje bila kujua kufanya usafi binafsi na wa mazingira, hajui kupika wala kuosha vyombo!

Wafundisheni watoto wenu kufanya kazi na kuzimaster.

Siku moja nilikutana na kituko cha msichana over 20 yrs old hajui kupika!

Nilijiuliza mwenyewe maswali bila kumuuliza, hadi nilimuogopa na mapenzi yakaishia hapo, kwani nilimuona kama ni mzigo usiobebeka.
Sasa sii umeona wewe mwenyewe hapo mwisho umeshajijibu.
Sasa wee sii unajua kupika why hukuingia upike au umfundishe kupika?
Hiyo ninkazi ya mwanamke bwana.
Wee kidume ni kusaka ndalama uweke food on the table.

Kuishi mwenyewe zio kisingizio. Mama ntilie wamejaa kibao mitaani huku sii unanda kula hapo tuu. Uzuri kuna ubwabwa wa buku hadi wa 5k ni wewe tuu na oesa yako
 
Mh!
Kwa hiyo tusiwafundishe watoto kujitegemea?

Kuwalea watoto kama mayai hatuwajengi, tunawapoteza.
 
Sasa tunawaleaje kama mayai hapo?
Its just distribution on duties kulingana na jinsia nothing about kuwalea kimayai.
 
Kifupi fundisha watoto kazi bila kujali jinsi zao, watakuja kujichenjua wenyewe baadaye.
 
Mfoto wangu wakiume siwezi mpigisha deka wala kubonoka apulizie mka au akae anapepeta mchele. Kazi za kimama hizo.
 
Sasa kutenganisha kazi za kiume na za kike inaletaje ushoga wewe au wee unataka kuongea tuu kuhusu ushoga?
Haya mbona hatukuona wanawake wakiokoa pale kariakooo? Hizo ndio kazi za kiume mwanawane.
Au wee unataka bonoka unapuliza mkaa ukolee🤣🤣🤣
Hizo manual works lazma mwanaume afanye pia hakuna dhambi akifanya hiz mnazoita za kimama na kidada...kina junior hamtaelewa hili
 
Back
Top Bottom