Wanawake wanalalamika wanaume wa siku hizi hawafai, lakini wanawalea watoto wao kwa mtindo mbovu zaidi. Hawatafaa kwa lolote.

Mkuu Poor Brain kwenye utafutaji sometimes ni kujilipua tu,ukifanikisha sawa ukifeli sawa kikubwa kujipa imani,na nimeona mtoto yule ni pisi si haba
Alafu mkuu inaelekea out of jf ni mtu mstaarabu sana aiseeee...

Sasa sijui mda mwingine unakuwaga mkorofi unachokoza mafaza kule jukwaa la siasa 😀😀😀😀
 
Wakati nakuwa ilikuwa marufuku kukaa jikoni,
Unaambiwa unakaa jikoni na mama na dada zako, unataka kuwachungulia!?
Mzee anakufundishwa namna ya kuishi na the other gender
The do's and don'ts
Masculinity
Sasa anafunzwa kuwa mayai mayai,
Anatumwa wanja, kusuka nywele
pumbavu kabisa
 
Umenena vyema sana mkuu. wanawake wanatulelea watoto wetu vibaya mno dogo alileta kesi kapigwa na mtoto mwenzie ila wakike mama yake akaivalia njuga ile kesi eti akawaambia nikamwambia acha ujinga.

Nikamuita dogo na kumlaza chini viboko 2 kisha nikamuuliza kosa lako ninini? akasema hajui nikamwambia usikubali kupigwa na mwanamke kesho akikuchokoze mpige hadi alie.Kesho natoka kazini asubhi yule mtoto wa kike kapata stahiki zake na wamekuja kushitaki.

Nirirudia tu usikubali kupigwa ovyo ovyo sawa? case closed halafu nikaenda kwa jirani kusikiliza wakasema sisi tulikuja kuwapa taarifa maana mwenzie anakimbia lakini bado anapigwa tukasema huyu mtoto ukorofi kajifunzia wapi. Kisha nami nikasema hawa wana mchezo huo hata jana dogo kaja analia amepigwa na huyu mwenzie.Ni wa kuwakemea hawa. kisha nikaondoka
 
Hii mbaya sana.
 
Ndio inavyotakiwa.....viugomvi vya watoto vinawaunganisha wala huwa haviwadhuru
 
Wanakwambia "unaujua uchungu wewe?"
"Namlea mwanangu asipate shida nilizopata"
Kama wa kiume atakazwa tu. hata mama zetu walikuwa wanajua uchungu vilevile lakini tulilelewa tuwe kama tulivyo leo hii. malezi yetu yalikuwa tofauti kabisa na KE kumbe walijua maana yake
 
Eeh sii wanaume wenyewe wakingese kama hawa...eti mtoto wakiume aoshe vyombo toka lini acheni ufala. Jukumu la mwanaume nikuweka chakula mezani, kuosha kudeki hiyo ni mwanamke
Hizo skills za maisha lazima awe nazo....Nan aliesema kuwa ni lazima mtoto wa kike ndo aoshe vyombo?kuna mazingira ambayo yatamfanya ajikite anaosha vyombo bila kutarajia....hakuna kaz za kidada Wala kimama kweny skills za maisha
 
Hizo skills za maisha lazima awe nazo....Nan aliesema kuwa ni lazima mtoto wa kike ndo aoshe vyombo?kuna mazingira ambayo yatamfanya ajikite anaosha vyombo bila kutarajia....hakuna kaz za kidada Wala kimama kweny skills za maisha
Acha ubwege wewe kuna kazi za kimama na kazi za kiume.
 
sio wote wanalea hivyo
 
Wakiwa wamezaliwa wote wa kiume nani ataosha vyombo??
 
Nani aliepanga kwamba hiz za kike na hizi za kiume?nyie ndo mtatuletea vijana mashoga kwa kuendekeza uzungu
Sasa kutenganisha kazi za kiume na za kike inaletaje ushoga wewe au wee unataka kuongea tuu kuhusu ushoga?
Haya mbona hatukuona wanawake wakiokoa pale kariakooo? Hizo ndio kazi za kiume mwanawane.
Au wee unataka bonoka unapuliza mkaa ukolee🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…