Wanawake Wananichosha Hapa Tu..!!

braza naona una utani na wamachame......hahahahahahahha
 
umaezidisha sasa,hakuna mwanamke wa kulia kukuombea ufe ili arithi nyumba,labda umeoa shetani ukafananisha na binadamu
khaa... Wapo wengi tu na ushahidi ninao
 
Hahaa. .kuna kaukweli hapa, dada wa Msuya alijaribu kufatilia kifo cha kaka yake na yeye akatiwa kibeliti
 
nilipoweka red color ni lugha gani hebu nitafsirie maana sijui ingekuwa Kiswahili ningengamua umeandika nini mkuu
 
hahaha na sie tukiwaona wanaume wananena kwa lugha tujue,washavurugwa huko mtaani ,michepuo ishaharibu hehehe
hivi kunena kwa lugha ndo kufanya nini mkuu? nimepitwa hii lugha naona sielewi maana mtoa mada nae kasema kunena kwa lugha ndo nn?
 
hivi kunena kwa lugha ndo kufanya nini mkuu? nimepitwa hii lugha naona sielewi maana mtoa mada nae kasema kunena kwa lugha ndo nn?
Ni haujui kweli au unazingua??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…