Wanawake wananyenyekea kwa sababu hawana pesa: Wanafuata chakula

My dear kama ulikutana na gumegume basi pole sana.
Wanawake pekee ambao hawana malezi ndio wanaweza kufanya mambo kama hayo.
 
We jamaa umung'ang'ania kutaja "mama, mama,..."
Kwani unadhani kwa sababu ni mama zetu Basi inaondoa ukweli ulioletwa na mtoa mada?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sawa haiondoi na ndio uhalisia wa mama yako..... Tatizo mmesahau jf sio lazima ukubaliane na kilichoandikwa kwangu mimi nina mtazamo tofauti kulingana na niliyoyaona sasa ukitaka nikubaliane na ww ni kutokana na uliyo yaona kwa mama yako kwamba anamnyenyekea baba yako kwakua hana pesa na kafuata chakula....
 
Yani umepita mulemule
Ndugu yangu anawiki kafukuzwa na mke kaambiwa hana maana
Kucheki nikwa mke anakipato kikubwa sana kuliko mume yani hata kodi ya anaijua mwanamke balaa
 
Bas sawa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake wa ukandah huo hiyo ndo kazi yao,kushinda wakipaka hina vibarazan,kujifukiza udii wakisubiria bwana aje aigeuze atakavyo,hadi kwa mpalangehh🤣ndomana shulee kwao sio muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…