Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

Huu uzi.....[emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi dada yao nawashauri wakatae ndoa!!!
We only live once kula bata,kuwa mcha Mungu!
Wasikimbilie ndoa watanishukuru baadae!!!
Unashauri wawe wanatumika tu,wasiolewe?
Siyo poa.
 
Heee kwani kula bata maana yake nini?
Nieleweshe pengine mi ndo sielewi
Nadhani anamaanisha kula bata,ukamate kibenten,maana kinakua na moto wa balehe balaa,kikizagamua,kinaenda kuoa wa rika lake.
 
Hahahaha, eti hawana market...wazeee wa kimoja Chali,hapa wapi bize kukomaza.shingo utafikiri wao hawatafika iyo 30 and above
Yaani mtu hajafika 30 years afu awe kimoja chali?
 
Ni kweli mkuu.ndo faida ya kuwa single kuhama kampun moja kwenda nyingine ni chap ila ukiwa na familia unasita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…