Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

Shida ni kwamba umri huo sawa anafikia peak lakini nyama ya chini ishakuwa tambara bovu lambo, umbo lishapeperuka, na kama alikuwa anatumia mkorogo unakutana na rangi zaidi ya moja usoni bado michirizi minyama uzembe aargh wapambane na vibenten wanaobalehe maana wanakuwaga moto hata mgomba wanapita nao
Huu uzi.....[emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi dada yao nawashauri wakatae ndoa!!!
We only live once kula bata,kuwa mcha Mungu!
Wasikimbilie ndoa watanishukuru baadae!!!
Unashauri wawe wanatumika tu,wasiolewe?
Siyo poa.
 
Heee kwani kula bata maana yake nini?
Nieleweshe pengine mi ndo sielewi
Nadhani anamaanisha kula bata,ukamate kibenten,maana kinakua na moto wa balehe balaa,kikizagamua,kinaenda kuoa wa rika lake.
 
Hahahaha, eti hawana market...wazeee wa kimoja Chali,hapa wapi bize kukomaza.shingo utafikiri wao hawatafika iyo 30 and above
Yaani mtu hajafika 30 years afu awe kimoja chali?
 
Ni kweli mkuu.ndo faida ya kuwa single kuhama kampun moja kwenda nyingine ni chap ila ukiwa na familia unasita.
It's life circle, nothing unique,
Binti kwenye 20s, lazima aringe maaana, hiyo ni prime age! Asiporinga umri huo ataringia kaburini?
Hata kwenye nyanja zingine ni hivyo hivyo, nilipokuwa bado shababy at 26,sikuona hatari kuacha kazi kampuni moja na kwenda nyingine, boss akizingua, Sina girl friend, Sina mtoto, Sina mtegemezi, kuchomoka kampuni moja kwenda nyingine sikuona hatari.,
 
Back
Top Bottom